Acha ndoto za mchana Kbd.
Ukombozi wa Tz ulishafanywa na TANU.
Kilichobaki kwako chapa kazi halali ujenge nchi, si kubwabwaja upuuzi.
Naomba Mungu aje akupe zahama kama hiyo,labda utajifunza na kuwa na huruma kwa wengine.Kama imelazimu, silaha za moto zitatumika. Hilo ni jambo la kawaida.Muhimu ni kulinda amani ya walio wengi dhidi ya wakorofi wachache.Tuwaunge mkono vyombo vya usalama kwa usalama wetu, si kulaumu kwa haja potofu.
Sidhani kama tunawatendea haki wamachinga kama tukianza kuwalaumu moja kwa moja, kwani eneo hilo halikukatazwa kisheria kufanya biashara, bali walizuiwa ili msafara wa kiongozi wa kidini wa wa-baniani apite...
mpumbavu usie na haya wewe,Unatumia makalio badala ya ubongo!!!!.Nchi isiyokuwa na Nidhamu inayowachwa Wahuni wafanye fujo watakavyo huku wanasiasa wavaa Magwanda wakihamasisha fujo kuwa ni moja ya sera zao matokeo yake ndio haya ya leo asubuhi Mjini Mwanza, hivi sasa tumeshawafikiosha vijana wetu kuvamia raia wenzetu wenye ngozi nyeupe na kuwahujumu kwa rangi zao? Kama ilivyotokea wakati wahuni Wakenja walivyokuwa wakifanya? hivi kuwapiga wahindi, waarabu ndio Ukombozi huo wachama cha Magwanda kutukomboa? haya moto wa ubaguzi mushauwasha huo kuuzima ni kazi kubwa siasa sio ucheza siasa ni hekima na busara, haya tusubiri na Mzee Sabodo nae kupigwa si ana rangi Nyeupeeeeee
Afisa Mipango Miji na jiji ndio chanzo cha vurugu wao waliwarudisha maeneo ambayo sio rasmi wakitegemea nini ina bidi wawajibishwe . Ila wamachinga kuchoma magari ya wananchi ambao hawana hatia pamoja na kuvunja mali na maduka ya watu sio njia sahii ya kufikisha ujumbe. hapa niko juu ofisini siwezi kutelemka chini risasi mbili zimelia ghafla.
Hilo la misikiti vp?
Amani gani unayoizungumzia wewe?Historia iko wazi jiji la mwanza lilikuwa na amani wakati wa CCM, hawa CDM wameingia na visasi pia madiwani wao wamegeuza ofisi za jiji vijiwe vya kuzungumzia masuala ya CDM
itakuwa kwa ajili ya jamaa flani hivi maana anatoka dini inayosali humo msikitini
Nakushangaa unauliza jibu! hivi hujui kuwa meya na madiwani wengi wa mwanza ni cdm? unategemea nini?
Alafu issue sio machinga pekee hivi hawa watoto Homeless tuna mpango upi kuwahusu???
Si hawa ndio watakuwa majambazi na vibaka wa kesho (kama bado hawajaanza...)... Yaani mimi ninalaumu uongozi kwa kutokuwa na Dira na kutokupanga mambo ya kesho...., "Tommorrow Should be Planned Today..)