Nakumbuka ilikuwa tarehe Januari 7 2011, Mkurungenzi wa Jiji la Mwanza Wilson Kabwe pamoja na Mbunge wa Mwanza Mjini Ezekiel Wenje, walisema wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga) waondoke katikati wa Mji waende maeneo waliopangiwa, Meya wa Jiji mwanza kutoka CDM, Joseph Manyerere alisema pia Machinga waondoke katika ya jiji, kwenye haya Mauaji ya raia CDM, wanausika sababu wakati wa kampeni wa uchaguzi mkuu waliwadanganya Machinga wakiichagua CDM, wataendelea kufanya biashara zao maeneo ya Makoroboi, Uhuru, libert, Lumumba, Nkuruma, baada ya kushinda Ubunge na Udiwani wamewatosa Machinga