Vumbi limetulia ukweli unatamalaki

Vumbi limetulia ukweli unatamalaki

Usihofu, yale ni matamko ya mwendokasi tu. Binafsi sioni faida kwa muda huu, labda kipindi cha Nyerere ndio palikuwa na tija. Kuhama ni gharama na si kipaumbele kwa sasa.
Dodoma iliasisiwa kuwa makao makuu ya CCM wakati Wa chama kushika hatamu. Ndio kisa wakajenga jengo kubwa la CCm Kizota. Nchi yetu si ile ya miaka ya 70, 80,90, tumeshaunganishwa kila mkoa kwa barabara kuu.Kila eneo la nchi linafikika kiurahisi kwa barabara, simu zipo n.k
 
Na mawasiliano yamerahisishwa mno...kama dunia imekuwa kijiji inakuwaje nchi moja ndogo ishindikane kuwa kijiji? [emoji144] [emoji144] [emoji144]Rethinking beloved country Tanzanganyika
 
Watu wa dizaini hio utawachoka tuu maana akili yao inelowekwa kwenye ile rangi ya kijani, na madhara yake hayafutiki hata kwa kifutio cha Nataraj ni tabu tupu mkuu Mshana Jr
Ipo siku watajitambua lakini itakuwa too late
 
serikali ihamie dodoma naunga mkono, maana watu wa pembezoni bukoba, katavi, rukwa, kigoma ruvuma kufika dar imekuwa ngumu sana na gharama hasa kwa wale wanaoenda kufanya usahili wa kazi.
 
Mbona n9ja waliweza kuhamia Abuja?? Wabongo nyie ni waoga tu wa kila kitu maneno mengiii ndio maana wanaume wengi hawana nguvu za kiume kila kitu uoga uoga tu. Ona sasa hadi Rwanda imetuacha watu wanapiga kazi nyie mmekali maneno mingii ngachoka kabisa na wabongo!
 
Kuhamia Dodoma ni muhimu sana kwa namna ambayo JPM aliweka. I personally agree and wish that to strategically become a success come 2018.
Mkuu be a 'GREAT THINKER' bana hebu tupe facts zilizoshiba with vivid examples kuitetea hoja yako unaposema ni muhimu sana kivipi?
 
Hampendi kukosolewa ,mkikosolewa hamkubali hadharani bali mnasimama na kusitisha zoezi kimya kimya,,,,,,,,,,,rejea bomoa bomoa, sukari kutoka nje, kuhamia dodoma
 
Mbona n9ja waliweza kuhamia Abuja?? Wabongo nyie ni waoga tu wa kila kitu maneno mengiii ndio maana wanaume wengi hawana nguvu za kiume kila kitu uoga uoga tu. Ona sasa hadi Rwanda imetuacha watu wanapiga kazi nyie mmekali maneno mingii ngachoka kabisa na wabongo!
Walihamia mwaka gani? na ilikuwa muda gani toka uhuru[emoji57]
 
Walihamia mwaka gani? na ilikuwa muda gani toka uhuru[emoji57]
Sikumbuki mwaka ila hao wanigeria kabla ya kuhamia walikuja bongo kula darasa jinsi tulivyojiandaa kuhamia Dodoma, lakini wao wakarudi kwao wakachapa kazi wakahamia fasta ,sie wabongo tumekalia porojo tu kila siku hadi akina kapuku lissu tunwaona eti ni mashujaa, wabongo maneno mingiii kazi ni sifuri kwa raslimali tulizonazo plus kufanya kazi hakuna nchi east Africa ingetupata ! ila tumekalia kuongea na kupenda ujinga ujinga...hebu tufanye kazi.
 
Semeni mtakavyosema, ukweli ni kwamba:
1. Wizara karibu zote zina ofisi Dar na Dom
2. Ikulu Dar na Dom
3. Mawaziri na wabunge wana nyumba za makazi Dar na Dom
4. Miundombinu Dom ya kusapoti serikali ipo tayari
5. Wengi wa hao serikalini wanaokataa kuhamia Dom wana mashamba, nyumba za kupangisha na mali nyingi walizochuma huko.
Tatizo ni kutaka waendelee kutumia safari za kwenda na kurudi kati ya Dar na Dom kwa gharama za serikali, ili waendelee kuchuma na kuwekeza hukoo Dom. JPM amewashtukia, hii ndiyo sababu kuu ya siri ya kuchelewesha uhamiaji wa Dom.
 
Wafanyakazi wengi wameshapewa barua za kuhamia Dodoma wanatakiwa by 22 September wawe wako kule tayari, na pesa za uhamisho tayari, je nani kaidhinisha?
 
Back
Top Bottom