Vumbi limetulia ukweli unatamalaki

Vumbi limetulia ukweli unatamalaki

Mkuu tatizo la serikali yetu ni kuongozwa na viongozi waliogubikwa na nidhamu ya woga.Binafsi sikuona mantiki ya kila waziri kujinasibu kwenye vyombo vya habari huku wakitoa matamko yenye kila rangi juu ya adhima ya kuhamia Dodoma.Rais kutamka kuwa atahakikisha ametimiza ahadi iliyoahidiwa kwa muda mrefu kuhamia dodoma ndani ya miaka hii iliyosalia alijua kuwa bado anahitaji kudunduliza vijisenti katika bajeti zilizobaki kabla ya kuhitimisha muhula wake wa uongozi.
Tatizo ni kutoelewa kusudio la mkuu wa nchi kuwa hakusema waanze kuhama wala kufurahisha hadhira kupitia matamko yao.Kusema akihama tu waandamizi wake inabidi wafanye hima.Mkuu sasa wameumbuka maana kuna waliosema mwisho wa wiki hizi zilizopita eti watakuwa wametimiza agizo la mkuu kumbe hawakudhani kuwa isingewezekana kwani si kuhama wao tu bali waandamizi wote.Daima kesheni mkiomba utajiri wa FIKRA na uwezo wa kutafakari kabla ya kutenda.Samahani wakuu nimewaza kwa sauti.
Rais anongoza Taifa kwa matamko ya kukurupuka!

Na tatizo letu viongozi wetu hawajiamini kabisa na hili ni tatizo la miaka mingi kidogo, yaani kitu akizungumza Rais hata kiwe cha kipuuzi hakuna kiongozi hata mmoja anayejipa muda kukitafakari!!

Wao kwa kutaka kumfurahisha wanacheza ngoma yoyote apigayo!!
 
Saa hizi matamko ya dodoma yamekwisha na nina amini hatutoyasikia tena itatafutwa nyimbo mpyaaaa ya kuibuka nayo hii ndo awamu ya tano
Uko sawa sana mkuu. Ni kama ile bomoa bomoa
 
Mh jeni ester alisema wizara yake yote wiki hii itakuwa imeshahamia Dodoma
 
Kila mtu na atafakari: "Hivi rais akisema ataenda Uganda kwa mfano mwezi ujao wewe mtendaji wake ukasema utaenda kabla yake atakuelewaje?"
 
Enzi hizo tukiwa wadogo tulikuwa tunasemaga "una kiherehere" pale mtu anapodakia alichosema mkubwa wake
 
Naomba mawaziri wote waliomdanganya Rais kuwa wataamia Dom baada ya wiki mbili wachukuliwe hatua kama wadanganyifu

Tumeona Anna Kilango a poll iwajibishwa kwa kudanganya na wao the same bila hivyo ni double standard
 
Ili nchi ipate maendeleo ya haraka mji mkuu inabidi ubadilishwe na Dodoma ndo sehemu sahihi ya kuupeleka mji huo mkuu
Ila wangeanza na wizara ndogondogo kwanza, kwa mwaka ziwe zinahama hata wizara2 mpaka 10yrs hilo suala litakuwa limeisha tyr
 
Naomba mawaziri wote waliomdanganya Rais kuwa wataamia Dom baada ya wiki mbili wachukuliwe hatua kama wadanganyifu

Tumeona Anna Kilango a poll iwajibishwa kwa kudanganya na wao the same bila hivyo ni double standard
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu Mshana nimekubaliana na wewe kwa kiasi lakini kiasi pia natofautiana na wewe.
1. Kiusalama ikitokea vita (Mungu aepushie mbali) kutekwa kwa mji mkuu ni ishara kuwa nchi/Serikali imeangushwa. Dodoma bado inakuwa sehemu nzuri ikitokea cha kutokea. UUwepo wa Dar kama mji mkuu yenye serikali kandokando ya bahari (maji) ni tatizo.
2. Hoja ya kupanua Dar es Salaam ili mji upumuo haina mashiko. Kinachokosekana mji huu ni mipangomiji, serikali kutokuwekeza kwenye makazi na hulka ya kila mtu kuwa na kiwanja chake. Unapopanua mji zaidi unaongeza gharama za uwekezaji kwenye miundombinu. In fact huu mji haukupaswa kuzidi 20 Km radius kutoka mjini kati ili maeneo mengine watu waendelee kulima na kupanda miti.
Kwangu, suala la kuhamisha serikali Dodoma ni nzuri nina tatizo na huu uharaka basi.

Nimekuelewa mkuu, unajua unavyoongoza kitu kama nchi lazima uwe na priorities kutegemeana na umuhimu wa mambo.

Nafikiria issues za muhimu tulizonazo, nikilist in ascending order sina hakika kama suala la kuhamia dodoma ntalipata kwenye top 20, of which ukipitia hotuba ya rais siku analihutubia bunge kati ya vipaumbele kama 40 alivoeleza pale suala la Dodoma hata halikuwepo. mara 100 kutafuta suluhu ya mambo ya Zanzibar kuliko hili.

Suala la kuhamia Dodoma lina umuhimu wake lakini utekelezaji wake inabidi uendeshwe kiustadi sana lisiathiri mambo mengine na pia isije kuwa matatizo haya haya ya Dar yakaenda kujirudia huko dodoma.
 
...Ina maana watendaji wake hawakumuelewa ama ni nidhamu ya uoga au ni upungufu wa kufikiri?...

All of the above. Hiyo combinenga ni ya hatari. Kuna siku PM atajikuta mpweke kule na yeye ajirudie zake Darisalama kimyakimya (kama bado..)
 
Mkuu nimekuelewa mzee.
Tatizo la serikali hii wao kazi yao ni kukurupuka na kutoa matamko tu.
Hawajui wala kutaka kupembua mambo kwa kutumia akili.

Akili ya Magufuli ni sawa na mtoto kaona nzi kwenye bakuli la uji. Badala ya kuchukua kijiko na kutoa yule nzi,atampiga nzi kibao na kumwaga uji wote,mwisho wake kumuunguza.

Yetu sisi macho. Anajifanya kucheza ba maisha ya watu na amani. Ubabe yeye,matamko yasio na tija ni yeye. Huyu mtu ana aakili timamu kweli?
Sheria ya mitandao inakuhusu na vi komenti vyako vya hasira utaishia jera, Punguza Jazba na kashfa mwana JF!
 
Hata akitaka serikali ihamie chato inawezekana, ila kwa utaratibu ili kuweka mipangilio sawa, siyo "tit for tat"
 
Haaahaaa! Nimegundua Mshana Jr yupo kwenye list ya wanaotakiwa kwenda Dodoma ila hana utayari! Anachohitaji Mh Rais ni fikra za watendaji wa Serikali kuelekezwa katika kupanga mikakati itakayowezesha Serikali kuhamia Dodoma, badala ya kujadili kwa nini inashindikana kuhamia Dodoma. With that mind set the ball will start rolling!
 
Vipo vipaumbele vya kisiasa na vile vya wananchi. Suala la elimu afya na miundombinnu ni hitaji la wananchi na wao inawezekana haliwagusi sana nq ndio maana hata wakiugua hawatibiwi nchini na watoto wao hawasomi hizi shule za mchambiagunzi.
 
This dude has a serious mental shakeup recall Wilson kabwe and zenji visit speech. And he is among 4:1

He needs serious "kanseling" and sitta funeral is this weekend he should be forced to swallow superglue
 
Back
Top Bottom