Vumbi limetulia ukweli unatamalaki

Vumbi limetulia ukweli unatamalaki

This dude has a serious mental shakeup recall Wilson kabwe and zenji visit speech. And he is among 4:1

He needs serious "kanseling" and sitta funeral is this weekend he should be forced to swallow superglue
[emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Sikumbuki mwaka ila hao wanigeria kabla ya kuhamia walikuja bongo kula darasa jinsi tulivyojiandaa kuhamia Dodoma, lakini wao wakarudi kwao wakachapa kazi wakahamia fasta ,sie wabongo tumekalia porojo tu kila siku hadi akina kapuku lissu tunwaona eti ni mashujaa, wabongo maneno mingiii kazi ni sifuri kwa raslimali tulizonazo plus kufanya kazi hakuna nchi east Africa ingetupata ! ila tumekalia kuongea na kupenda ujinga ujinga...hebu tufanye kazi.
Huwez kuamini pamoja na kuhamia Abuja miaka ya tisini mwanzoni, wakati huo Lagos ikiwa na karibu watu 10million, leo Abuja bado ina watu 1.7million pekee, zaidi ya miaka 20,lakini Lagos imekuwa State ya watu million 21,moja ya Urban Agglomerate/conurbation(spelling check please) kubwa kabisa duniani.
Hivyo kuhamia mji mpya ambao hauna fursa inaweza ikawa ni total failure. Mji kama hauna viashiria vya kujikuza kibiashara badala yake unategemea mambo ya serikali pekee unakua mgumu sana kukua kwa haraka.
Ndiyo maana miji kama Mbeya, licha kwamba hakuna jambo hata moja kubwa la Kiserikali, lakini ni mji mkubwa kwa sababu ya fursa kubwa za kibiashara.
 
Vipo vipaumbele vya kisiasa na vile vya wananchi. Suala la elimu afya na miundombinnu ni hitaji la wananchi na wao inawezekana haliwagusi sana nq ndio maana hata wakiugua hawatibiwi nchini na watoto wao hawasomi hizi shule za mchambiagunzi.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mkuu nimekuelewa mzee.
Tatizo la serikali hii wao kazi yao ni kukurupuka na kutoa matamko tu.
Hawajui wala kutaka kupembua mambo kwa kutumia akili.

Akili ya Magufuli ni sawa na mtoto kaona nzi kwenye bakuli la uji. Badala ya kuchukua kijiko na kutoa yule nzi,atampiga nzi kibao na kumwaga uji wote,mwisho wake kumuunguza.

Yetu sisi macho. Anajifanya kucheza ba maisha ya watu na amani. Ubabe yeye,matamko yasio na tija ni yeye. Huyu mtu ana aakili timamu kweli?
uko sawa mkuu labda tu maneno ni makali sana
 
Hoja ya kukaa katikati ya nchi bado INA umuhimu mkubwa, kila mwaka maelfu ya wanafunzi wanasafiri toka bukoba, kigoma kwenda dar kwenye baraza la mitihani kwa ajili ya malamiko malalamiko yanayohusu vyeti.

Wastaafu wote nchi hii bila kufika Dar hupati haki yako, bado kuna maelfu wanaokwenda bodi ya mikopo, nacte n.k. ukijifanya kutegemea (online applications) pekee tegemea umekosa mkopo na chuo

Hapo hatujaongelea wanaokwenda muhimbili eti hospitali ya Taifa.

Ilimradi ni msururu tu Wa watanzania kufuata Huduma (kwa lazima) kila siku Dar.

Ni muda muafaka Huduma ziwe jirani na wananchi angalau katikati ya nchi kupunguza gharama za usafiri na usumbufu. Serikali ndio isumbuke kuwafuata wananchi, sio wananchi wateseke kuifuata serikali
 
Back
Top Bottom