Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

Jamani wanaJf nimetumiwa SMS na voda kuwa kuanzia kesho vifurushi vyao vitabadilika. Wakatoa link yao na nilipoingia kusoma kilichomo ni hatareeee!!! 3MB kwa 649 na 1 MB kwa jero. Daah!!!!

Ingia mwenyewe usome...Ndugu mteja, tutabadilisha vifurushi vya Cheka kuanzia 8/10/2015. Kwa maelezo, tembelea tovuti yetu http://vda.cm/IntanetiBombastik Ahsante kwa kuchagua Vodacom
 
Kampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa

bado ghali tutamsubiri Halotel
 
Kampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa
bahati nzuri sana huwa situmii voda kwa net
 
Hapa hakuna namna nyingine zaidi ya kuhamia airtel. kwa jinsi mavifurushi ya hawa MBWA yalivyokaa, ukinunua bundle saa 5:59 usiku, ifikapo saa 6 usiku (midnight) KINAYEYUKA! Vodacom oyeeeeeee!

Baada ya muda mfupi mitandao mingine kama airtel na tigo nao utaona wametoa gharama mpya za vifurushi vyao,,,,,, sijui tukimbilie wapi???
 
Ila tambua iyo mitandao. Kuna mgombea urais wa chama furani anausika na anahisa za kutoshaa. Ivyo kazi ni kwako

sikatai jamaa lakini naomba uniambie mwenye mamlaka ya kusimamia makampuni binafsi ya simu yupo? kama yupo ni nani? je kazi kazi yake ya kusimamia huduma kwa wateja amesbundwa? in Tanzania everythng is possible think twice bro,
 
me voda ni kupiga tu...bando nipo airtel kidogo wana nafuu...Nawasubiri Hollowtel kwa hamu
 
Huu ukoje mkuu?Net haisumbui?
Nitanunua kitochi niweke airtel nitumie huo mtandao maana hali ni mbaya.

ni mtandao mpya wa simu unaitwa HALOTEL unazinduliwa rasmi trh 15 october saivi wako kwenye majaribio ndo natumia hizo 5Gb , dk 300 na free sms halotel to halotel
 
In Tanzania everything is possible mgeni anaruhusiwa kuja kufungua kampuni yake na kujipangia bei yake atakayo yeye bila kujali kipato halisi cha wananchi na huwezi kusikia mamlaka husika ikimunyooshea kidole..
 
ni mtandao mpya wa simu unaitwa HALOTEL unazinduliwa rasmi trh 15 october saivi wako kwenye majaribio ndo natumia hizo 5Gb , dk 300 na free sms halotel to halotel

Office zake wap kwa Dar.?
 
Tutaikumbuka TTCL iliyouwawa na Serikali Takafujo ya THITHIEM
 
Kampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa

Siasa hizi bavicha na lumunda mmetuingiza humu.
 
Kuna kipindi inabidi tu kuwa au kufata wezi maana kwa mtindo huu wale wachakachuzi wa bundles lazima wawe marafiki zetu wa karibu
 
Back
Top Bottom