Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

msijali sana naamini uchaguzi ukiisha mambo yatarudi kama yalivokua yote yameletwa na kuwepo kwa uchaguzi
 
Hivi mnaweza mkawa serious kweli kwamba 500 ni mb 1? Hahahaha,,,kweli navumilia kuwa mtz
 
Hivi waziri mwenye dhamana na mambo haya ya mitandao ni nani hasa? mbona kila siku namsikia naibu waziri January Makamba tu? Na anatoka bara au Zanzibar? Tuanzie hapo kwanza.
 
Simnataka mabadilikoo. Ndo yanaanza ivyo na wenye hiyoo mitandao ndo haohao tunawashabikia

Usimsahau yule aliyeinjinia cyber anaweza kupitia hku kumchafua mwenye hisa kwenye voda ila ukweli utabainika tu.
 
Ila tambua iyo mitandao. Kuna mgombea urais wa chama furani anausika na anahisa za kutoshaa. Ivyo kazi ni kwako
 
Kampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa

hamia Airtel!
 
Ipo hivi
 

Attachments

  • 1444240562777.jpg
    1444240562777.jpg
    38 KB · Views: 513
  • 1444240583691.jpg
    1444240583691.jpg
    48.4 KB · Views: 448
Back
Top Bottom