Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

jamaa anarudisha hela aliyotumia kununulia chama
 
Mb8 zilianzia Voda,nikanunua line ya airtel !!
Siku ya pili nao wakaleta.
Hiyo mb 1 inakuja hadi huko

Airtel mpaka leo bado tunapata 300mb kwa Tshs 500 ya siku (OMG), na 1gb kwa wiki ya Tshs 3,000...
 
Wangetoa hivyo vifurushi vya internet ndani ya vufurushi vya kupiga na sms. Mb 1 ni uchafu wa hali ya juu.
 
Hata huko halotel wanawavutia kasi tu. Siku wakishaanza kupata wateja wataanza kubana kama voda.
 
Hii ndio Tanzania.
TCRA wamewekwa mfukoni.
Mamlaka za kumsaidia mtumiaji hazina sauti tena.
 
Uzuri nimeatoa talaka kwa vodacom maana ni wezi
 
mzee anarudisha gharama zake alizotumia kununulia chama...
 
Simnataka mabadilikoo. Ndo yanaanza ivyo na wenye hiyoo mitandao ndo haohao tunawashabikia
 
Sasa ndo nini hii wakuu.
Hebu cheki

Tuhamie Wapi??

Hii ni kwasababu serikali ishakufa, tcra wanadili na makosa ya mitandao tuu! Na huenda wapiga kampeini wa chama kilichokataliwa na wananchi wamekopa huko kwa makubaliano hayo! Nanyie voda subirini mabadiliko tunafufua ttcl alafu mtauziwa hisa za mawacliano wizi wenu mwisho mtahama wenyewe!
 
Hilo no agizo la TCRA(Mamlaka ya mwasiliano) kuwa vifurushi vya kuipiga simu na data za internet zitenganishwe kwani kuna wasiotumia data kama vipofu. Ila wangeongeza dakika kama wamepunguza data.
 
Wameishiwa. Walishaanza kulalamika kwamba wameishiwa. Najiandaa kuhama,itanichukua kama wiki 2.
Bundles za internet ni vipi au ni cheka tu wamebadilisha
 
Mabadilikooooooo. Kuna mgombea frani nasikia anahusika na hiyo kampuni. Sasa. Naanza kupata mashaka juu ya hili
 
Kampuni ya simu vodacom kuanzia kesho tarehe 8 itabadili tena gharama ya vifurushi vya internet vya wiki 2000=30 MB 2800=60 MB na kifurushi cha siku 1000 itanakia kuwa Mb 8 kazi kwenu mnaokesha mitandaoni VODACOM WAMEJIPANGA. Chanzo voda taarifa
 
Mkuu ndyo wanataka kurudisha hela walizopeleka kwnye kampeni....ndyo tatizo yakununua chama cha siasa afu hujajiandaa.NAHAMIA TIGO
 
Back
Top Bottom