Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

Jamani TCRA walisema watenganishe Muda wa Maongezi, SMS na Data....
Afu pia msikimbilie Halotel mkidhani watakuwa wazuri kuliko hawa, Voda ana roots ambazo makampuni mengi yameshindwa

mbona sijasikia tcra wakiitisha maoni ya wadau kuhusu gharama
za watumiaji wa mawasiliano kama ewura wanavyofanya kwenye umeme na maji? tcra wana-regulate nini wakati wanawaachia makampuni wanajipangia tu bei kila moja kivyake?
 
Hiyo smart mi naitaka sana inapatikana wapi na kwa galama gani?
Smart laini zake zinauzwa mitaani elfu moja ila lazima uwe na smartphone original siyo smart suppotered. Kwa mfano smartphone za kichina haikubali, kwa mfano tecno n.k. Ila ina speed kubwa ya ajabu mno na bei nafuu sana.
 
kwa sasa bora university offer kwa tigo au univoucher kwa airtel...vodacom hakuna kitu
 
Sasa ndo nini hii wakuu.
Hebu cheki

Tuhamie Wapi??

Mnalia lia nn? Lowasa ni shareholder VodaCom na anamiliki hisa za kutosha tu, kwa sasa pesa ya kampeni imekata mnataka akaitoe wapi kama si nyinyi kumchangia?... Bahati nzur kwa tunaojielewa hatutumii midandao ya ajabu ajabu kama VodaCom.
 
Halotel ipo kwa ajili ya kusolve hili tatizo la data. Au ukipata line ya mwanachuo ndio safi zaidi.
 
Back
Top Bottom