Sema tatizo Lao wanaambizana utakuta mitandao yote ni hivohivo. Aisee mbona nitauza smartphone.
Hahahahaaaa ila hawa wajinga wana tabia ya kuigana.
Wiki haiishi airtel na tiGo watafanya hivyohivyo.
Lakini wewe Deo Corleone si hutaki mabadiliko?
Hiyo ndio dawa yenu,na bado.
hivi vifurushi vinafaa simu za gprs tu.
kuanzia kesho
500 dk 14 sms 50 mb 1
650 dk 20 sms 100 mb 3
1000 dk 50 sms 200 mb 8
zingine tembelea tovuti yao.
hapo kwenye mb 1 na 3 si wangeacha tu make hata nane zenyewe zilikua chache sana.
Kwakweli tutajuta sana tukiendelea hivi, mabadiliko muhimu kukomwsha njaa za warohoo.
Bora tigo na university offer
Hahahahaaaa ila hawa wajinga wana tabia ya kuigana.
Wiki haiishi airtel na tiGo watafanya hivyohivyo.
Lakini wewe Deo Corleone si hutaki mabadiliko?
Hiyo ndio dawa yenu,na bado.