Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

Mie nabofya na internet ya halotel. Voda na airtel nlishawakimbia zamaaani
 
Tumtoe kwanza huyu ccm haya mengine yatakaa poa tu
 
Ha ha haaaa VODACOM KAAZI NI KWAKO. CCM hoyeeee.....
 
Jamani TCRA walisema watenganishe Muda wa Maongezi, SMS na Data....
Afu pia msikimbilie Halotel mkidhani watakuwa wazuri kuliko hawa, Voda ana roots ambazo makampuni mengi yameshindwa
 
Hamia Airtel kwa silu 30(mwezi) unalipa sh. 9999 unapata dakika 175 kuongea mitandao yote na mb 300 za data Ndiyo maana hata katika vikao vya bunge Vodacom na tigo walishutumiwa kuwa wezi lakini airtel hakushutumiwa.
 
Mi naungaga tgo Chuo 1500 Dk 150 kifurushi mb 500 kW wiki
 
Hamia Airtel kwa silu 30(mwezi) unalipa sh. 9999 unapata dakika 175 kuongea mitandao yote na mb 300 za data Ndiyo maana hata katika vikao vya bunge Vodacom na tigo walishutumiwa kuwa wezi lakini airtel hakushutumiwa.

Wengine huu utaratibu umetushinda kwa kweli kesho utakuta zimeisha zote hasa hizo mb!
 
hamia airtel kwa silu 30(mwezi) unalipa sh. 9999 unapata dakika 175 kuongea mitandao yote na mb 300 za data ndiyo maana hata katika vikao vya bunge vodacom na tigo walishutumiwa kuwa wezi lakini airtel hakushutumiwa.

hata wao watabadilika tu.
 
Hamia Airtel kwa silu 30(mwezi) unalipa sh. 9999 unapata dakika 175 kuongea mitandao yote na mb 300 za data Ndiyo maana hata katika vikao vya bunge Vodacom na tigo walishutumiwa kuwa wezi lakini airtel hakushutumiwa.
Mb 300? Mambo ni yaleyale tuuuu
 
Navyojua watanzania tulivyo walalamikaji, tuna lalamika eeee, afu mwisho wa siku tunazoea na kusahau kabisaaaa, bila hatua yoyote. Live long Tanzania, change begins with you!!!!
 
Back
Top Bottom