Wale wa Airtel naona promo ya switch on inayohusu vifurushi vya data, ebu wenye laini za airtel waangalie ilituone kama wana jipya.
Na enjoy unlimited bundle la week kwa 6000 toka vodacom
Vipi kuhusu ku download?
Ina download fresh bila tatizo. ..!!
Voda kuna kitu kimewashitua na kuamua kurejea upya viwango vyao vya internet. Na hii kwa kiasi fulani itakidhi mahitaji kwenye simu zetu.
check PM
nimeona kwenye taarifa ya habari leo airtel wamezindua huduma mpya ya intaneti, naona ndio wanashindana.
Tigo ukipata 500KBps mpaka 1MB/s ni kwa bahati sana na mimi bila 1MB/sec bora niachane na kudownload yaani hainipi munkali kabisa
Vifurushi vya kuunga unga kama hivi ni chenga kwa heavy downloaders kama sisi...
Mfano hapa natafuta Driver pack solution kutoka torrent ina 7GB na nataka latest Windows 8.1 update 1 inazo 4GB jumla kumi na moja sasa kwa net kama hizi unaweza kuta unafirisika ghafla
Mi speed ya kawaida kwa Torrent ni 300kbps bila kutumia IDM !
Tigo wananipa raha sana !
Kuna watu wana bahati blackshade imekuwa terminated !
nimeona kwenye taarifa ya habari leo airtel wamezindua huduma mpya ya intaneti, naona ndio wanashindana.
watuletee 4G bwana hawa watu tunazidiwa mpaka na Uganda wana LTE ya MTN,uzuri mtandao ukiwa unatoa huduma za 3G at the same time 4G hata kama siwezi mudu kulipia 4G walau na mimi ntakua na speed iliyo Enhanced ajabu
hv hamshtuki tu kuwa tcra ndio wanapanga hz bundle?
1. Kwa pamoja walieka vifurush vya kupiga mitandao yote
2. Kwa pamoja walieka kifurush cha 1gb kwa siku kwa buku
3.kwa pamoja walikitoa kifurush hapo juu
4.kwa pamoja wanaeka unlimited kwa buku tigo, voda nimeconfirm
Vodacom walitujali sana mwaka 2012. Kwani tulifaidi saa 4 mpaka saa12 bila speed kutetereka, Sasa hivi naona wameleta maringo kwa kuwa tumewapa attention