Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

Nimejaribu leo kujiunga kifurushi cha unlimited hadi nimejuta ni kwanini nimejiunga maana kusurf tu ni shida, speed ya juu ya kudownload ni 30KB/s.. Mwanzo nilikuwa napata speed nzuri sana tu baada ya kujiunga na bundle hii speed imeshuka sana.
 
Ukute 3g ilikuwa off au huku-enable data
 
Unamaana gani mkuu?
kwa maana Bundle wameli limit 1GB ikiisha bundle limeisha au?
Au ulimaanisha speed majanga

Jana nilijiunga mida ya saa 2 usiku na nilidownload muvi kama tatu hv tena na kusurf net hadi saa 7 usiku spidi ikawa slow hata kwenye kusurf net. Sijui hawa wamerudi kwenye bundle ya limit. Tofauti na wk zilzopita
 
Hao watakua wanakupa mb kadhaa..then zikiisha ndio inakua very slow
 
Unamaana gani mkuu?
kwa maana Bundle wameli limit 1GB ikiisha bundle limeisha au?
Au ulimaanisha speed majanga

ImageUploadedByJamiiForums1401791172.282197.jpg

Nadhani picha inajieleza mkuu na nimeitumia ndani ya masaa mawili tuu tena sio mfululizo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hivi, hii internet tunayonunua kwa voda, na wao wanagharamika kununua internet/data kama sisi?
 
Huu utamu wa kupakua movie online wengine tunaukosa,natumia apple ipad 3 64gb lakini kudownload music inagoma,kupakua videos/movies inagoma na hata itunes haifunguki,nisaidieni waungwana

Sent from my iPad

Mie mbona natumia ios 7 nina apple ipad 3 na iphone 5 nafanya yote na download movie na miziki jifunze ku utilize kifaa chako mara nyingi ili ujie ujanja wote kukwepa restrictions za apple lazma uwe computer literate sio normal user itakusumbua but ukitumia youtube utajua mengi kuhusu kifaa chako cha apple na all i can say apple make the best device on the planet os yao ni user friendly i love ios xo much jifunze tuh mkuu utaja niambia ilivyo easy
 
Hapa nilipo voda wanatisha wakifatiwa na airtel tigo na zantel pumbavu kabisa kitu 2g haifai na hao airtel switch on first day nimeunga kifurushi cha siku 900/= nilishusha 10gb a day kesho yake line yangu imefungiwa hata nikilipa kifurushi nimelipa mara mbili chenga net napewa labda mb300 za fast after that hiyo speed kobe mwanafunzi kinyonga afadhali yani ni slow ushauri usijiunge na switch on my ass upuuzi mtupu na voda after 1gb wanabana to 24-30kbs xo bora usubiri wajanja night yako ya 500/= tuh net wanabana sanaa
 
Mie mbona natumia ios 7 nina apple ipad 3 na iphone 5 nafanya yote na download movie na miziki jifunze ku utilize kifaa chako mara nyingi ili ujie ujanja wote kukwepa restrictions za apple lazma uwe computer literate sio normal user itakusumbua but ukitumia youtube utajua mengi kuhusu kifaa chako cha apple na all i can say apple make the best device on the planet os yao ni user friendly i love ios xo much jifunze tuh mkuu utaja niambia ilivyo easy

OS yao ni stable at least ila sio the best kiasi hicho !

I'll pick iOS some day apple watakapo remove all useless restrictions !
 
Ile switch on sio unlimited mimi nikiunga natumia kidogo inakata nikiunga tena inakubali yaan kila kona wizi tu hii mitandao tigo wameondo unlimited zao voda baada ya gb kuisha speed inashuka zantel wao ndo wana true unlimited amabayo laki 3 kwa mwezi sasa niambia watu wa kajamba nani anaweza kulipia laki 3
 
Spidi bila kikomo ya tgo ile ya usiku gb 30 ndio fresh for three days
 
Back
Top Bottom