Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,821
Habari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa muda gani.
 
nimejiunga nikapata 1g at full speed then ikiisha unapata speed ndogo
 
hii ni habari njema, sasa unlimited kwa mwezi ni sh.20,000 badala ya tsh.40,000.
 
Habari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa muda gani.

Voda kuna kitu kimewashitua na kuamua kurejea upya viwango vyao vya internet. Na hii kwa kiasi fulani itakidhi mahitaji kwenye simu zetu.
 
Voda wameleta hii kitu unlimited ya siku kwa buku tu ila kama kawaida download high speed ni 1gb baada ya hapo kitu kinakuwa kobe.
Kazi kwenu wadandiaji
 
Ngoja Nilijaribu leo hii nione Maana kuna Movie kibao nataka download.

Kama kweli ni unlimited
 
Voda kuna kitu kimewashitua na kuamua kurejea upya viwango vyao vya internet. Na hii kwa kiasi fulani itakidhi mahitaji kwenye simu zetu.

Ni kweli mkuu, maana Voda walijipatia wateja wengi sana walikuwa wanakaa usiku kutumia unlimited ya Wajanja Night...
 
Back
Top Bottom