Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

Attachments

  • 1400875419658.jpg
    1400875419658.jpg
    77.5 KB · Views: 199
IDM iki expire ni program gani nyingine nzuri ya kudownload vitu? naombeni msaada
 
Elfu 1 halafu gb 1 siyo mbaya kwa sababu ni 24hrs lakini si sahihi kusema ni unlimited. Bado wajanja ya 500 ni nzuri zaidi isipokuwa muda tu
 
Hewaaaa. Katika play store siipati. Hii nzuri mno maana unashushia hapohapo. Naipataje tafadhali

Hii kitu mimi nili save katika email. Hii ni baada ya kuitafuta ktk utorrent na kuikosa. Sasa hata simu iwe vipi, nikiitaka lazima niingiie ktk email yangu na kuipakua. Fanya kuni PM email yako nikutumie
 
Ku injection tool unaweza kuitumia hiii inauwezo mkubwa wa ku-penetrate na kufanya injection ya firewall

8pf5.png


kaka hiyo speed kwa IDM ni kubwa sana afu MBPS kwenye dashboard ni ndogo, ukiconvert hzifiki huko..... must be a 1time thing
 
kaka hiyo speed kwa IDM ni kubwa sana afu MBPS kwenye dashboard ni ndogo, ukiconvert hzifiki huko..... must be a 1time thing

Yaah hiyo screenshot niliichukua kwenye dashboard ishashuka ila hii sijasema ni my constant speed but my max speed nayoweza kupata
Maana kipindi nachukua screenshot speed ilikua inacheza 600KB/s mpaka 1MB/s
Infact mimi usiku wa kuanzia saa sita ndo speed yangu ya Tigo hiyo

Leo jioni ntantengeneza Video ila in short mimi usiku kwa Tigo 1MB/sec ni kitu ya kawaida

9f1u.png
 
Back
Top Bottom