Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
- Thread starter
- #21
Bado nina kiu na UNLIMITED ya ukweli kama walivyoanza enzi zile za 200/=
Siku hizi Voda wametutenga. Kipindi kile life was way too easy.
Bado nina kiu na UNLIMITED ya ukweli kama walivyoanza enzi zile za 200/=
Unlimited sio unlimited kweli !
Tatizo wabongo tunaangalia volume base !
Na Bandwidth tutazidi kubaniwa !
Ila nadhani kuna opp zina speed yakuridhisha ! Ishu ni kuzifind !
Kama ndio hivyo nitafunga ndoa na Vodacom.
hawa dawa yao moja kama Book ni 1GB afu speed inashuka watalijujua jiji tutabamiza firewalls zao shauri lao...
ASANTE SANA VODACOM
hawa dawa yao moja kama Book ni 1GB afu speed inashuka watalijujua jiji tutabamiza firewalls zao shauri lao...
ASANTE SANA VODACOM
hawa dawa yao moja kama book ni 1gb afu speed inashuka watalijua jiji tutabamiza firewalls zao lazima zitoboke tu shauri lao...
Asante sana vodacom
ukimaliza zile 1gb speed inashuka hadi 30-50KBsbaada ya hiyo 1gb kuisha, kunakoendelea unaweza ukapata speed nzuri ya kucheck video online?
jama wanashusha speed hadi 30-50KBS mara tu umalizapo zile 1gb so hakuna ujanja ujanja yakhehawa dawa yao moja kama book ni 1gb afu speed inashuka watalijua jiji tutabamiza firewalls zao lazima zitoboke tu shauri lao...
Asante sana vodacom
wamenitumia kuwa 1GB yangu imeisha ila mpaka sasa hivi nadownload vitu mpaka 400KB, Shkamoni Vodacom.
jama wanashusha speed hadi 30-50KBS mara tu umalizapo zile 1gb so hakuna ujanja ujanja yakhe
kama TIGO kaka au umesahau nn?
ahaa me nishachoka acha niwaache nyie na hao voda wenu maana cku hizi hawana dili,me huku natiririka na TG yangu...