Vodacom university offer.

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,278
Reaction score
44,414
voda wametoa promotion mpya sjajua kama imekua posted humu kwa sh 500 utatuma sms bure, kupiga simu na internet unlimited kwa siku nzima.

Then kitu nlichokuja gundua ni kua wanaangalia mnara ulioungia maana ni offa ya vyuo tu so kama unataka kuunga tafuta chuo cha jirani kaunge.

Sometime unaweza kua chuo then ukawa unatumia mnara ambao sio wa chuo pia hutapata.

Kujiunga
*149*02#
 
unajiungaje
 
Ya nini mpaka usumbuke kutafuta chuo ndio ujiunge, how much do you waste for 500, nauli yenyewe kwenda kujiunga na kirudi ni sh. Ngapi?
 
inawahusu wanachuo au hujaelewa? kama hujaelewa , wahusika ni walioeneo la chuo, wewe endelea kulipa kama kawaida, na nyamaza kama huna la kuandika
 
Huwa nacheka kila nikisikia mambo ya promotion! You are naive if you believe any company (or person for that matter) watakupa kitu cha bure!
 
huz mbona povu limekutoka hvo? btw how r u doing????
 
huku nako unapita pita mpenzi, mi uwa siwapendi vichwa maji wanaoandika andika bila mpangilio, mi niko poa wangu, nimeng'oa jino hatimae, maana lilikuwa lanisumbua tu
 
Huwa nacheka kila nikisikia mambo ya promotion! You are naive if you believe any company (or person for that matter) watakupa kitu cha bure!

unalipa mia tano, sio bure
 
Huwa nacheka kila nikisikia mambo ya promotion! You are naive if you believe any company (or person for that matter) watakupa kitu cha bure!
SI umeambiwa unalipia 500 au kulipia 500 ni sawasawa na bure?
 
Hilooo lione kwanza! Ndio maana halifiki huko linakokwenda, kila siku kupiga hatua tu!

On a serious note WS, kama inaitwa promotion kuna suggestion kuwepo kwa unafuu fulani. Hiyo huwa ni changa la macho tu!
 
chief-mkwawa internet ni bure kabisa na ni unlimited au unapewa some MB na speed ya kobe??? maana me nilipo jiunga ilikataa ku connect kabisaaa but voice na sms ilikubali
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mimi mwenyewe sijafanikiwa kuuunga nipo mwisho wa chuo lakini jamaa zangu walio katikati wameunga (wanatumia mnara wa chuo) wanatumia kwa mb unazopewa siwezi confirm
 
me nilifanikiwa kujiunga na kupiga simu na sms but data iligoma ku connect ngoja leo nijaribu tena nione
 
Mkuu umejaribu kutumia voda wap? Maana kihalali simu inatumia access point ya wap. Hii wap ina limit vitu vyengine hufany so maybe net yao wameieka huko.

Change access point
 
jibu toshaaa.....

nlichofurah n kwamba inaonesha ww n mtu makini sanaaa .. hzo namba olizo zifuta kwenye hyo screen shot.. safi sanaa...... ila umeniangusha kitu ki 1.. unatumia edge...

teh teh teh
 
Weweeh, mbona hiyo ya MASUKI inasomeka tuu! Nikutajie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…