Vodacom: Tutawafidia wateja wetu waliopata changamoto ya Mtandao wakiwa wamenunua huduma

Vodacom Tanzania

Official Account
Aug 12, 2013
322
112
IMG_2043.png

Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi.

Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na tunaomba radhi kwa hilo. Kwa sababu hii, wateja wote walioshindwa kutumia huduma ya intaneti watarejeshewa vifurushi vyao.

Tunaendelea kufuatilia kwa karibu na kuhakikisha unapata huduma bora na kasi ya juu kabisa.

Tunakushukuru kwa uelewa na uvumilivu wako.
Imetolewa na:
Uongozi
Vodacom Tanzania PLC
 

Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi...
Screenshot_20240515_172016_Messages.jpg


Naona mmeshanilipa MB500 ila nilikuwa na GB 8 kwenye simu.

Nimeshindwa kuzitumia toka juzi na muda wake unaisha. Mmeniibia bado.

Sijaridhika
 
Back
Top Bottom