Vodacom kuunga wateja wake huduma ya mdundo bila mteja kuridhia

ze big

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
382
350
Habari wadau.

Kumekuwa na mtandao wa vodacom Tanzania kuunga wateja wake kwa kuwabambikia huduma ya mdundo na kupelekea kukata watu salio la muda wa maongezi.

Hii huduma binafsi nimekuwa nikiungwa pasipo kujiunga kwa zaidi ya mwaka sasa nikiwasiliana na hao huduma kwa wateja wanadai nimejiunga licha ya kuwaambia wanitoe baada ya mwezi inajirudia tena na kukatwa salio langu. Je hii ni mimi pekee ama ni kawaida ya mtandao huu maana nkmechoshwa na huu wizi wa wazi
 
1700418531880.png

Vodacom hawa wanaokutumia ujumbe wa kuuliza kama unakerwa na matangazo huku wanauganisha tangazo ndani ya huo ujumbe
 
Back
Top Bottom