Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Jamani Kampuni ya Vodacom mbona wananchi tunashindwa kuwaelewa haiwezekani leo inakaribia wiki moja mtandao wenu wa mawasiliano ni mbovu especially kanda ya ziwa simu hazitoki , data nazo ni shida, m pesa nayo ndiyo usiseme unatoa hela asubuhi inakuja message usiku hivi tatizo ni nini mtujulishe tujue hata kama mnajaribu kutatua tatizo. kwa sababu hii sasa ni too much....

Wamekusikia mafundi wao wapo Humu
 
Poleni sana sisi huku dar tunakula 4G tuu hamna namna. Na kususu Mpesa, Dar hatutumii Mpesa tunatumia VISA, Master card, Wire to bank
8c76f65a173a37861ab3c621317323bb.jpg
 
Vodacom kama kampuni mnachukuliaje matapeli wanaotumia jina lenu kupigia watu simu na kuwatapeli?

Ni hatua gani mmechukua mpaka sasa ? ( kwa maana watu wengi sana wanaibiwa pesa na matapeli wanaojifanya ni kutoka vodacom)

Je ni ushauri gani mnampatia mtu aliyetapeliwa na watu wanaojifanya ni kutoka vodacom ?
 
Vodacom wameishiwa ubunifu wanatoa promosheni za kichovu haziendani na mahitaji ya wateja, mfano mzuri RED RELAX na saivi wanatuambia pinduka pinduka vitu havieleweki kabisa halafu watu wanalipwa mshahara
 
Muelewe ya kwamba mnatuibia pesa zetu, kwani si mawasiliano na wala internet zenu hovyo mno! Mnara wenu wa Maisome island haufanyi kazi sasa zaidi ya wiki tatu mtujali basi, kwani huu in wizi uliopitiliza
 
Back
Top Bottom