Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,667
- 1,642
Mimi ni mwez sasa. Nawaripoti TCRAMimi nilifanya muamala kupitia huduma ya lipa kwa mpesa , Mara mbili sijupata SMS na hela ilikatwa, nimepiga huduma kwa wateja naambiwa kuna tatizo LA mtandao, muamala nilifanya tangu tarehe 17 mwezi huu hadi Leo hii hela yangu sijarudishiwa. Vodacom ni kero sana. Hela yangu mnakaa nayo muda wote huo utafikiri mkirudisha mnarudisha na riba. Nimetokea kuwachukia sana. Zaidi ya wiki hela ipo hewani tu?
Sent using Jamii Forums mobile app