Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,812
- 156,948
Voda mateso sana mkuu, hawana huruma, wizi, uongo nk. Jitahidi uwapate wavietnam utafurahia sanamkuu tatzo hawa halotel hawajafka nlipo but ukwel hawa voda ni wakutupwa.
Voda mateso sana mkuu, hawana huruma, wizi, uongo nk. Jitahidi uwapate wavietnam utafurahia sanamkuu tatzo hawa halotel hawajafka nlipo but ukwel hawa voda ni wakutupwa.
Halafu bei za vifurushi ni tofauti kati ya mtu na mtu.
Kuna jirani yangu akiweka 250 anapata dakika 14 na akiweka 500 dakika 50 sijui.
click here: N.H.I.F mnasubiri nini kuwa na "Electronic Health Card System?"Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Nyie Voda sio wakuulizia maboresho .nyie ni wezi wakubwa .sana sana sasa hivi tunatafuta jinsi ya kuwasilisha matatizo yetu.kwa Mh Raisi Magufuli ili aweke jicho la tatu kwa wizara na tume ya mawasiliano kwani haiwezikani umna tuibia kiasi hiki na serikali hipo.nyie wezi wakubwa hamna tofauti na wezi wengine.mfano Mimi nadai kwakuanzia dai la tarehe 10/5/2016 shilingi elfu 30 na mengine mengi mpaka Leo sijalipwa hela zangu.wezi wakubwa nyie tena msio na adabu mnaibia ataa senior citizen shame on you .stupid nonsense trying acting like Engle.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Heri wewe hupo dar.sisi arusha .Voda na tcra kuna ushirikiano na Voda kuiba.kwa taarifa yako nimegundua Mh Raisi Magufuli ni raisi Wa dar na chato .huku mikoani bado hakuna mapadiliko .tuko na tabia zileeeeee.za awamu ya bila uwajibikaji.ataa ttcl wameongwa .embu fikiria kampuni huru ya taifa inaanza na kuboresha 4G badala ya kuanzia 2g na 3g ili kuwakomboa Wa Tz na dhuluma !!?? Utajazaa usilete unafiki hapa mnatuibia alafu mnatutest !!!!????TCRA wana mtindo wa kukalia malalmiko ikipita wiki mbili hawakujibu wakilisha malalamiko kwenye tume yaa ushindani ofisi zao ziko ubungo