Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 872
Voda kuna uhuni mkubwa sana. Jana nimeweka kifurushi cha wiki. Nimepiga mara moja tu na dakika arobaini na nne zimebaki. Leo naambiwa kifurushi kimeisha. Ujinga mtupu nyie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami kimenipata hicho hicho. Wezi sana hawa. Sitanunua tena. Bora niwatumie airtelHivi nyie voda nkisema ni vibaka mtasema nimewatukana? Kifurushi ninunue mchana cha masaa 24 asubuh mnambie kimekwisha muda wake hata kutumia sijatumia si wizi huu? alaf ukinunua muda wa maongezi leo kupitia mpesa jibu linakuja kesho asubuhi,kama huduma imewashinda acheni msitusumbue eboh!mitandao mingine si kwamba hatuioni! Mnaboa!
Nunua line ya Halotel uone tofauti. Acha kuteseka suluhisho lipo.Huwa inanikera sana pale nikinunua bundle ya kupiga mitandao yoyote at da same time nikiwa na bundle ya voda to voda. bundle la mitandao yote huisha mapema hta kama nimepiga voda to voda pekee.
Kwa maelezo yako tu inatosha kuamini kuwa wewe ni mhalifu kupitia mtandao. Umetuma pesa kwenda bank kupitia simu yako kisha pesa zimerudi kwako bado unalalamika. Hata hiyo adhabu ya kufungiwa simcard uliyopewa na vodacom ni ndogo sana ulitakiwa uripotiwe polisi. Kama unataka suluhu nenda ofisini kwao wewe ni mteja wao mkapate suluhu. Kulalamika ktm mitandao siyo jawabu.hallo vodacom naombeni mniambie nifanye kipi ili line yangu upande wa m-pesa muifungue.
sim card hii mmeifunga kwa kosa ambalo ki uhalisia sio kosa langu ni kosa lenu cha ajabu mnanipa adhabu mie ambae sina kosa je hii ni halali...?
tangu tarehe 20-6-2016 nilifanya transaction kutoka m-pesa kwenda benki ya DTB mnavyodai kupitia huduma kwa wateja namba 100 ni kuwa sim card yangu imefungwa kwakuwa nilituma pesa benki na hizo pesa zikarudi kwenye line yangu ya mpesa japo sio kweli kwamba kuna pesa ilienda benki ki makosa
hata kama ni kweli hivi mimi kweli kwanini mnifungie line wakati mitambo yenu ndio imejikoroga...?
je...? mnajua kutokana na kufungiwa line yangu ni kiasi gani nilifedheheka ugenini arusha kwa kukosa hela ya kula na nauli ya kurudi kwetu kahama..?
mmenipa masaa 72 ya kusubiri zaidi ya mala kumi lakini hakuna jipya sasa nauliza NIENDE WAPI NIKAWASHITAKI MNIFUNGULIE LAINI YANGU? nimeenda zaidi ya mara tano kwa meneje wa vodacom kahama lakini nae ni kama yupo busy au hajali usumbufu ninao upata kwa kulipia garama za boda boda kwenda na kurudi
NAOMBENI MFUNGUE LAINI YANGU UPESI LA SIVYO TUTAPAZA SAUTI KWA MH RAIS AWATUMBUE TU MAANA HAKUNA NAMNA.
mkuu labda tu kwa mfano uhalifu wangu upo wapi,,?Kwa maelezo yako tu inatosha kuamini kuwa wewe ni mhalifu kupitia mtandao. Umetuma pesa kwenda bank kupitia simu yako kisha pesa zimerudi kwako bado unalalamika. Hata hiyo adhabu ya kufungiwa simcard uliyopewa na vodacom ni ndogo sana ulitakiwa uripotiwe polisi. Kama unataka suluhu nenda ofisini kwao wewe ni mteja wao mkapate suluhu. Kulalamika ktm mitandao siyo jawabu.
Jifunze kuwa mstaarabu, maelezo yako ndiyo yanayokushitaki. Vodacom ni kampuni kubwa ya mawasiliano nchini. Haiwezi kukufungia huduma bila kuwepo na tatizo kati yako na bank pia vodacom wenyewe. Awali umesema mitambo yao ndiyo ikijikoroga. Kwa kauli hiyo inaonyesha kujikoroga kwa mitambo ya vodacom wewe ulichukulia kuwa ni fulsa kwako ya kunufaika. Suluhisho la hili tatizo ni wewe na si vinginevyo. Na ukumbuke unavyoandika humu unajitengenezea ushahidi bila wewe kujua.mkuu labda tu kwa mfano uhalifu wangu upo wapi,,?
laini imesajiliwa kwa kitamburisho halali na huko benki mimi ndio niliomba hiyo huduma ya kuwa nahamisha pesa kutoka mpesa kwenda benki nako huko nilitoa kitamburisho cha kunitambulisha mimi ni nani na nipo wapi. unaposema kuwa niende ofisini kwao kupata suruhu ninapatwa na mashaka kama umeisoma post yangu mwanzo mpaka mwisho vinginevyo umekurupuka kujibu
bado unanikwepa nimesema hivi huduma kwa wateja na kwa meneja nimeenda je.. kama pote huko sisaidiwi niende wapi ...? mie nilijua hii thread itakuwa msaada kumbe mie tayari ni mhalifu wa mitandaoni ..?Jifunze kuwa mstaarabu, maelezo yako ndiyo yanayokushitaki. Vodacom ni kampuni kubwa ya mawasiliano nchini. Haiwezi kukufungia huduma bila kuwepo na tatizo kati yako na bank pia vodacom wenyewe. Awali umesema mitambo yao ndiyo ikijikoroga. Kwa kauli hiyo inaonyesha kujikoroga kwa mitambo ya vodacom wewe ulichukulia kuwa ni fulsa kwako ya kunufaika. Suluhisho la hili tatizo ni wewe na si vinginevyo. Na ukumbuke unavyoandika humu unajitengenezea ushahidi bila wewe kujua.
Rudi kwenye maelezo yako ya mwanzo ktk sentensi ya mitambo kujikoroga halafu utagundua kitu.bado unanikwepa nimesema hivi huduma kwa wateja na kwa meneja nimeenda je.. kama pote huko sisaidiwi niende wapi ...? mie nilijua hii thread itakuwa msaada kumbe mie tayari ni mhalifu wa mitandaoni ..?
ama kweli vigezo na mashart kuzingatiwa
hivi kwa mfano kitendo cha kununua data za siku nzima,kisha likaja swala na kutokuwepo kwa network ya data hapo huoni kuwa mitambo yao imehusika au binaadamu ndio huwa wanahusika ..? kwenye data na hili la m-pesa unataka kuniambia kumbe wafanyakazi ndio huwa wanasababisha patokee hayo yanayotokea na sio mitambo..? mie ninaanz kuamini kuwa kumbe vodacom mnatutegesheaga kesi bila kujijua ili mwisho wa siku nionekane mteja ndio mharifu na sio wao.. naanza kuamini kwa kuwa hata hao mashart ambayo mmeyaweka huwa hatuyajui zaidi ya kusikia mkisema vigezo na mashart kuzingatiwa ama kweli HAPA KASI TURudi kwenye maelezo yako ya mwanzo ktk sentensi ya mitambo kujikoroga halafu utagundua kitu.
Sasa kumbe majibu unayo mbona unazunguka. Kawaambie tatizo lilikuwa networkhivi kwa mfano kitendo cha kununua data za siku nzima,kisha likaja swala na kutokuwepo kwa network ya data hapo huoni kuwa mitambo yao imehusika au binaadamu ndio huwa wanahusika ..? kwenye data na hili la m-pesa unataka kuniambia kumbe wafanyakazi ndio huwa wanasababisha patokee hayo yanayotokea na sio mitambo..? mie ninaanz kuamini kuwa kumbe vodacom mnatutegesheaga kesi bila kujijua ili mwisho wa siku nionekane mteja ndio mharifu na sio wao.. naanza kuamini kwa kuwa hata hao mashart ambayo mmeyaweka huwa hatuyajui zaidi ya kusikia mkisema vigezo na mashart kuzingatiwa ama kweli HAPA KASI TU
simu yangu,laini yangu m-pesa yangu lakini sina uhuru navyo
MKUU ASANTE NIMEJIFUNZA KITU HAPA KUWA SINA PA KUPATIA MSAADA
NETWORK NI NINI..?Sasa kumbe majibu unayo mbona unazunguka. Kawaambie tatizo lilikuwa network
Sasa si bora hivyo, mm nataka kurenew line Vodashop Magomeni anasema eti nipeleke Passport size , nilicheka sana tena sana, yni tupo kwenye kizazi cha paper less na yy anadai passport, tena passport size!! ,DaaahVodacom mna huduma mbaya sana.. Siku moja nlienda kwenye ofis zenu pale zackem ata sipataman tena, dada anakujbu huku anakulakula vtu na wala hakutizami na bado anakujibu kama hatak na kwa ukali, ukijumlisha na bei zenu kwenye bando aaaah kwa kweli ilibid lain yenu niipack nikaweka mbadala halotel maana mnakatisha tamaa sana
Usisajili line mtaani inachelewa kuwa activated hadi form zabusajili zifike. Sajili voda shopMimi naitwa YASINI MIKAILI KIRIA ni freelance wa vodacom. Ninalo tatizo la usajili wa lain. Nisajili laini kwa mteja tangu jana saa 10 hadi muda huu hasijakamilika.