Vodacom rebranding

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
sasa Vodacom wameamkuwa kuwana kama parent company yao ya Vodafone

kilichobaki wampandishe cheo Da Mwamvita kwani anafanya kazi nzuri kwenye hiyo idara ya CSR ukilinganisha na akina Shyrose ambao misaada yao haizidi 1m

Vodacom on the otherhand wanaspend mpaka milioni 100 kwenye shule moja
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Dietiof Mare akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo na rangi ya kampuni hiyo. Walikutana na Rais Kikwete wiki iliyopita

Ina maana NEW TAX BREAK for New Company. VAT exemption

0% of import Duty

Ten percent (10%) - Import Duty forSemi-processed inputs and spare parts other than for motor vehicles.

To name the few

Backstory Then...

A representative of Caspian on the Vodacom Tanzania board is businessman-politician Rostam Aziz, a close supporter of President Jakaya Kikwete. At the time Vodacom was licensed in Tanzania, neither man was quite as powerful as now. Kikwete was Foreign Minister and Aziz had yet to occupy any formal position in Tanzanian politics

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Dietiof Mare akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo na rangi ya kampuni hiyo leo kwenye ukumbi wa Ball Room, hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (kushoto) akishangilia baada ya uzinduzi huo

Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ , Pieter Uys, (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare (kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini.
 
at least wamejitahidi....si kama wengine ambao kila kukicha ni kuuza tu....hawa kwa mujibu wa maelezo WAMEBADILI LOGO na si kuuza
 
Wamechukua Logo ya VODAFONE ya UK ili wawe kama Air tel??? Sidanganyiki!!! AIRTEL kwa kwenda mbele!!!!!!!!!!!!!
 
Nikisikia Rostam napata Kichefuchefu hapohapo. By The Way tunahitaji huduma ziboreshwe siyo logo zibadilishwe. Nna maana kwamba Watanzania hawajali kampuni inaitwaje...,wanahitaji huduma bora kutoka kampuni hiyo.
 
Sasa kama ni masuala ya uwekezaji wameenda kufanya nn Ikulu?...Nijuavyo mimi Ikulu hakuna ofisi ya uwekezaji, Ikulu NI MAHALA PATAKATIFU, na si eneo la maongezi ya jinsi ya kuwakamua waTz zaidi.
Wanaboa hawa,..kama unabadili nembo kwanini upige hodi IKULU?...mwishoni watataka kuongezea bafu kwenye ofisi yao, then watataka wafike kwanza ikulu kujadili....my naniliu!!
 
Lazima watumalize hawa wanyonyaji, kwa sheria hizi na unafiki wa viongozi sijui tutaponaje
 
Vodafone UK imenunua 65 percent stake katika Vodacom Group na ikumbukwe Vodacom Group wana 65 percent share kwenye Vodacom Tanzania so kama brand ya Vodacom isingekuwa kubwa afrika wangeenda mbali nakubadili hata jina kuwa vodafone maana wao ndiyo majority shareholders.
 
Wakiongeza share zao kwenye VODA Africa zikafika 75% wataweza kubadili jina kuwa Vodafone
 
Sasa kama ni masuala ya uwekezaji wameenda kufanya nn Ikulu?...Nijuavyo mimi Ikulu hakuna ofisi ya uwekezaji, Ikulu NI MAHALA PATAKATIFU, na si eneo la maongezi ya jinsi ya kuwakamua waTz zaidi.
Wanaboa hawa,..kama unabadili nembo kwanini upige hodi IKULU?...mwishoni watataka kuongezea bafu kwenye ofisi yao, then watataka wafike kwanza ikulu kujadili....my naniliu!!

ilikuwa MAHALA PATAKATIFU wakati wa mwl.na kwa sasa ni Pango la Wanyanganyi. Hata akina Tanil Sumaiya uwa wanaenda ku discuss deal na mkulu.
 
wamebadilisha LOGO tu na rangi kila kitu kipo pale pale, so hakuna ukwepaji wa kodi hapo
 
Nikisikia Rostam napata Kichefuchefu hapohapo. By The Way tunahitaji huduma ziboreshwe siyo logo zibadilishwe. Nna maana kwamba Watanzania hawajali kampuni inaitwaje...,wanahitaji huduma bora kutoka kampuni hiyo.

Tapika basi. Ila mmmmh, hilo jicho mwanangu, sijui nikutafute?
 
Haya maRANGI MEKUNDU ni masherti ya freemasons nini? mbona wote wameikimbilia hiyo! ,..Ngoja tuwatazame ZANTEL.
 
Wakiongeza share zao kwenye VODA Africa zikafika 75% wataweza kubadili jina kuwa Vodafone
<br />
<br />
inategemea,kumbuka hata hilo jina vodacom ilitokana na majina mawili yaani vodafone na telkom south africa.sasa inategemea na namna wanavyoweza kuona business implication ya kubadili jina la strong brand kama Vodacom.
 
at least wamejitahidi....si kama wengine ambao kila kukicha ni kuuza tu....hawa kwa mujibu wa maelezo WAMEBADILI LOGO na si kuuza

mwizi ni mwizi tu, hakuna mwizi nafuu wala nini... hawa wanauingilia kinyume na maumbile uchumi wetu sie tumekalia kusifia upumbavu

wezi na mafisadi tu hao
 
Haya maRANGI MEKUNDU ni masherti ya freemasons nini? mbona wote wameikimbilia hiyo! ,..Ngoja tuwatazame ZANTEL.
<br />
<br />
Kwenye Zatel majority shareholders ni Etisalat na hawatumii rangi nyekundu labda nao wanunuliwe na wenye rangi nyekundu.
 
When I was working with vodacom one of the main factors that were attracting customers is BLUE colour! it has some saikolojiko significant in human brain!

Tigo move one with blue colour it pays!

This brand is because vodacom is sold to vodafone
 
Back
Top Bottom