Vodacom ni balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom ni balaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chereko, Jul 30, 2009.

 1. C

  Chereko Member

  #1
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Kusema ukweli Vodacom ni balaaa.....simu ya wenye pesa. Nimekuwa na Voda number muda mrefu nadhani ni mmoja wa watu wa kwanza kuingia voda siku ya kwanza kuanza hapa nchini na nimekuwa mwaminifu sana wa kampuni hii sina namba nyingine.

  Hivi karibuni pesa zinaondoka kweli... tia elfu tano piga simu mbili ya tatu utasikiaa piiiiiii halafu calas, sijui ni ule ushuru au ni nini kama hii ni trick fulani nadhani hii ni balaaa

  Kwa mara ya kwanza nimeingia kampuni nyingine (jina mezea sipo kutangaaza biashara ya mtu) ile ile elfu tano nimepiga simu kibao

  Jamani voda ni balaa sijui ni rate zao au ni kamdudu fulani ka kula hela wamekitia. Naendeleza namba hii kwa muda tu kisha nahama kabisa wakati ndugu jamaa na marafiki wamepata namba yangu mpya
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Aaaargh!!!

  Wezi mchana kweupeeeee!

  I hate very much this company, sijui kwanini, lakini to be frank hawa jamaa wamekuja kikazi... yaani kuiba mahela ya raia!
  Ni wezi...ni wezi...ni wezi!

  Mi nimeenda mbali zaidi, maana nawachukia hadi wanaokubali kuendelea kuibiwa...nawaona kama vile wanatoka sayari ingine!

  Au ndo theory ya Marketing kwamba kitu kikitangazwa sana ndo huwa kinazama sana vichwani mwa watu!

  Mimi nilishajiendeaga TIGO zamaani!, kwanini nifiche bana!...wao hawana shida na mtu, unalonga wee...unajirusha wee... mpaka tani yako.

  Waache vichwa ngumu waendelee kuteseka!
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  VOda ni kampuni la matajiri!
   
 4. D

  Dawson Member

  #4
  Jul 30, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ahaa wewe husiseme mi Voda nakumbuka siku naiacha nimeamka asubuhi nikatoa chip ya voda nikaweka ya hito kampuni nyingine si unajua number zinakaa kwenye simu nikaanza kutoa taharifa tu kwa ndugu na jamaa wachache kweli ukicheka na hawa jamaa utalala njaa ukingangania kununua Vocha hawafaiiiii kabiasaaaaaaaa...!!!
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Pole sana Chereko, hawa jamaa bure ghali, wengi tuliwahama muda mrefu sana lakini sim zao tunakaa nazo kwa ajili ya huduma nyingine kama M-pesa na Data vinginevyo kwa matumizi ya kupiga simu ni wizi mtupu!
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mimi nikiwa Tanzania napenda zaidi ku roam kwa network ya Vodacon na Zain sababu zina vioce quality nzuri sana ila ukitumia Tigo basi mushkira kelele kibao
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mimi nikiwa Tanzania napenda zaidi ku roam kwa network ya Vodacon na Zain sababu zina voice quality nzuri sana ila ukitumia Tigo basi mushkira kelele kibao
  [​IMG]
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Si jambo la busara kuamua kuhama Company A kwenda B kwa sababu ya "hisia" kuwa Company A "inakuibia". Jambo la busara ni kufanya uchunguzi/utafiti mdogo na kutambua ni nini kinachojiri. Kupiga simu mbili ikachukua Tshs 5000 si kigezo sahihi cha kusema "rate" zao ziko juu au wanatumia njia fulani "kuiba".

  Hebu tupige "Custama Kea" tujua rates halafu turudi jamavini na data halisi. Baada ya hapo mtoa mada atwambia hizo "simu" mbili alikuwa anapiga wapi (Local fixed line/VodaCom/Other Mobile Operator, Regiaonal e.t.c)
   
 9. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wacha uwongo wako!!
  pia watanzania sisi ni wajinga sana, eti ukipata huduma kwa bei ya juu unajisifia kuwas wewe ni tajiri na kusema ooh tigo ni ya wanafunzi etc, yani unapigwa miti kweupe unashabikia? tumejaa upkoko kichwani, hongereni wale woote mliohamia tigo, mimi nipo na tigo since mobitel 0811, mankumbuka wale wenzangu, shwaariii!! na sitoiacha labda voda au zainabu wae chini zaidi.nyie data bongo? wangapi wanahitaji hizo?piga,sma tafuta hela mambo mswano!
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  baada ya kukukamua kwa siku 30 wana kupoza kwa sms 5, kama vipi wechukua watu wako mhimu waweke kwenye voda jamaa halafu nunua line ya TiGo (maana hata zain nao wezi tu) anza kuzoesha watu wako taaratibu baada ya miezi mitatu matumizi ya voda yatapungua na mwisho wa siku unaachana nayo maana kuhama ghafla unaweza kupoteza watu wengi na pengine ukajutatia...
   
 12. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni kweli kabisa mkuu, VODA ni balaa, nami nakaribia miaka 8 toka niwe na voda na nimekuwa muumini mzuri wa hii kampuni nikihofia kubadilisha number kwamba it will be inconvinient kwa jamaa zangu ( bila kujijali mimi kwanza).

  Yaani ukiweka Sh.5000 kama vile kuna kidudu mtu flan make ukibahatika kupiga simu nne ambazo ni dakika2 nakuendelea kila moja sijui, labda uwe voda jamaa ambayo ina limit watano at a go na 15 kwa mwezi. Wakati mtandao mwingine unaweza ukadunda na 5000 (si zain) kwa siku, kwa voda atleast 15,000. Mnatuua jamani voda ama ndo asila za kagoda, richmond na dowans?
   
 13. b

  bnhai JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Mie nadhani watu wengi wanaumia kwa sababu wanahangaika kuretain number zao. Process ya kuhama nayo ni ngumu na si rahisi kuhamisha watu hata kama utawaarifu wale woote walio kwenye fonebook yako. Bado kuna wengine waliopata namba kwa namna moja au nyingine unaweza kuwakosa. nadhani suala la msingi ni kuondoa monopoly ya namba kwenye kampuni ya simu. Yaani mtu awe anaweza kuhama mtandao na namba yake kama wafanye Ughaibuni
   
 14. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  TCRA mko wapi jamani mtusaidie katika hili?
   
 15. b

  bnhai JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Honestly linawezekana nadhani MjasiriamaliShupavi kuna haja ya kuona namna gani tunawang'ang'ania hawa watu na kuhakikisha unaweza kuhama mtandao na namba yako. Hakuna cha 0713 au 0754 ya nani sijui. Ingawa cost yake hutajua nani ni voda na nani ni tigo mpaka umuulize muhusika. Lakini benefit ni kubwa zaidi
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Watz vichwa ngumu tuu ndo maana ata kwenye uchaguzi tunaflook!
  Mitandano ya kutumia ni zantel na tigo bse ghara zao ni nafuu.Kama wakaa uko nje ya mji au vijijini voda au zain za nini?Mtu yuko city center anakomaa na Zain au Voda why!
  Kuokoa hgarama za maisha tumia tigo na zantel kwisha kazi unaongea kwa raha na amani.
  Niko na voda toka 2002 so suala la kusema niangalie tariff haliingia akilini,nshawai weka buku kumpigia wa voda nilitumia kama dk 3 kasorobo unasikiaa titititiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  Wanabahati niko uswekeni uku tigo na zantel tabu otherwise ningetia moto line zao.
  Wito washushe bei kama wenzao simu sio ANASA JAMANI!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wiki 4 zilizopita vocha ya voda ya sh. 5000 iliuzwa 5500. Kelele zimepigwa wakashusha bei kidogo halafu 5000 yenyewe inaisha haraka kweli!
  Duh kazi tunayo. Ngoja na mimi nihamie mtandao fulani.
   
 18. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Duuu kumbe tupo wengi tunaojeruhiwa na hawa jamaaa....aisee one day nilikuwa na balance kama ya Tshs 1050.....nikampigia mtu wa zain, nikashangaa ghafla kitufe kinalia...kucheki salio ni 0.5 then nikaangalia last call time ikawa inaonyesha 1.51 minutes. Sasa ukipiga hesabu hapo yaani ni kama dakika moja ni Tshs 695 hivi!.....This is too much kwa kweli!

  Kama wadau wengine walivyosema...mazoea ni mabaya sana...nimefanya majaribio ya kubadili line...lakini wapi ikashindikana kuna contacts nyingi sana za watu za kibishara na kawaida....lakini lazima nichomoke one day!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mbona tulisha toa wito msusie huu mtandao mlikuwa wapi?
  Mi ukoo wetu wote tunatumia tiGo voda tulisha wamwaga siku nyingi.
   
 20. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mtanzania anataka apewe sifa kuwa yeye ni tajiri, anatumia mtandao wa matajiri kwa madai yao, kumbe ni wa umaskini!! fidel wapashe mazee
   
Loading...