Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Ukiwa TiGo msg za Majuu hupati! mtandao feki kweli kweli! ka TiGo vile
Mkuu mbona mimi napata kama kawa?
Kuna jamaa angu yupo kwa wauza sembe Colombia iwa ananitumia sms kama kawa.
Ukiwa TiGo msg za Majuu hupati! mtandao feki kweli kweli! ka TiGo vile
Una bahati, manake jamaa zangu wamejaribu kubadilisha kampuni kadhaa huko majuu ili wanipate kwenye TiGo pasipo mafanikio.. wakanishauri niingie Voda ama Zantel..Mkuu mbona mimi napata kama kawa?
Kuna jamaa angu yupo kwa wauza sembe Colombia iwa ananitumia sms kama kawa.
Kama mi nimekuongepea Nyamayao niombee basi hiyo namba nije nichukue kwako kama hutatajiwa kilo tano omba namba hii kama mi naongopa ****900400
babake sio kwamba unaongopa, nimeshangazwa na hiyo gharama....khaa
Mkuu mbona mimi napata kama kawa?
Kuna jamaa angu yupo kwa wauza sembe Colombia iwa ananitumia sms kama kawa.
Una bahati, manake jamaa zangu wamejaribu kubadilisha kampuni kadhaa huko majuu ili wanipate kwenye TiGo pasipo mafanikio..
hata mie nikiwa home mtandao ninaotumia ni tigo na ninapata msg za nje kama kawaida.
Wakuu,
Si jambo la busara kuamua kuhama Company A kwenda B kwa sababu ya "hisia" kuwa Company A "inakuibia". Jambo la busara ni kufanya uchunguzi/utafiti mdogo na kutambua ni nini kinachojiri. Kupiga simu mbili ikachukua Tshs 5000 si kigezo sahihi cha kusema "rate" zao ziko juu au wanatumia njia fulani "kuiba".
Hebu tupige "Custama Kea" tujua rates halafu turudi jamavini na data halisi. Baada ya hapo mtoa mada atwambia hizo "simu" mbili alikuwa anapiga wapi (Local fixed line/VodaCom/Other Mobile Operator, Regiaonal e.t.c)
Sikushauri uziamini sana hizi rates zilizo ktk mtandao, cha kufanya ni kupiga simu na kuangalia hali halisi, ili ujue iwapo hicho walichoansika mtandaoni ni sahihi ama la, ndipo utapata jibu sahihi.
............Mitandano ya kutumia ni zantel na tigo bse gharama zao ni nafuu.
......Kama wakaa uko nje ya mji au vijijini kwenye mitandao ya tigo na Zantel, voda au zain za nini?...
Kabisa.....Kuokoa hgarama za maisha tumia tigo na zantel kwisha kazi unaongea kwa raha na amani....
Kama wana masikio na wasikie!....Wito washushe bei kama wenzao simu sio ANASA JAMANI!!!!!!!!!!!!!!!!!
....lakini lazima nichomoke one day!
...Tatizo nililokuwa nalo ni kuwa sijui niende wapi kwenye afadhali....
unakosea hapa hatuongelei tigo tunaongelea bei, hata voda wakiwa bei chini hakuna haja ya kuwahama!! cmu ghali kuliko hata msosi unaokula kwa siku?Ama kweli JF kuna promo ya Tigo. au JF inafadhiliwa na Tigo? ndio maana wengi waisifu
Wewe si unapata dezo ya RAMimi bado nipo Voda na Zantel
Tatizo ni kuwa ni vigumu sana ku-prove kuwa tarif zinafanya kazi kama zinavyoonyeshwa. Ukifanya majaribio ya kijima-kuweka fedha na kuangalia dakika unazotumia kupiga, wala haziendani na tarif zao-fedha zinaisha kabla ya ule muda uliopaswa. Na hli si tatizo la Voda perse, ni tatizo la mirandao yote TZ, wezi sana
Wana JF salaam,wahenga wanasema baniani mbaya kiatu chake dawa... licha ya gharama za Vodacom kuwa kuuuubwa lakini Network Quality na Clarity haswa katika Mikoa hii ya kusini ni nzuri kupitiliza,Zain na tigo hakuna lolote Network si nzuri... nashukuru kuwa Zantel wanafanya Roaming nao hivyo nafurahia huduma nafuu ya Zantel kwa kutumia mtandao wao nadhani ni wakati mbadala wa WanaJF kujiunga na Zantel kwa gharama nafuu na kupata huduma za uhakika za Vodacom...Pamoja na kwamba Zantel wana-roll out Network yao nipo Sumbawanga Zain Kaputi,tIGO Kaputiiii...
Hata kama bei ingekuwa chini kama unaupiga vita hupaswi kutumia Vodacom...unakosea hapa hatuongelei tigo tunaongelea bei, hata voda wakiwa bei chini hakuna haja ya kuwahama!! cmu ghali kuliko hata msosi unaokula kwa siku?