Watanzania Mpunguze Umbeya Siyo kila Simu ni ku record!

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,949
Kuna jamaa nilikua naongea nae muda mfupi uliopita kwa njia ya simu. Baada ya mazungumzo kabla hajakata simu nikasikia ujumbe " your call has been recorded " kutoka kwenye simu yake.

Nikajiuliza huyu mtu ana record mazungumzo yangu na yake kwa sababu gani? Hakukuwa na mambo ya maana sana tuliyokua tunaongea ila nimeshangaa tu kusikia kuwa ana record mazungumzo na hii si mara ya kwanza.

Mi nadhani ni ujinga tu kama huna la maana juu ya hayo mazungumzo huna sababu ya kufanya recording. Au labda urushe mitandaoni kuwa unaongea na fulani ili ikusaidie nini sasa? Foolishness
 
Anafanya hivyo kwa lengo la kuboresha huduma

Customer service "Ili kuboresha huduma zetu simu yako itarekodiwa"
 
Kuna jamaa nilikua naongea nae muda mfupi uliopita kwa njia ya simu. Baada ya mazungumzo kabla hajakata simu nikasikia ujumbe " your call has been recorded " kutoka kwenye simu yake.

Nikajiuliza huyu mtu ana record mazungumzo yangu na yake kwa sababu gani? Hakukuwa na mambo ya maana sana tuliyokua tunaongea ila nimeshangaa tu kusikia kuwa ana record mazungumzo na hii si mara ya kwanza.

Mi nadhani ni ujinga tu kama huna la maana juu ya hayo mazungumzo huna sababu ya kufanya recording. Au labda urushe mitandaoni kuwa unaongea na fulani ili ikusaidie nini sasa? Foolishness
Laana ya kulaani taifa teule.
 
Mara nyingi ni Tecno zinajibonyeza
Kauli yako imenikumbusha kituko fulani nimejicheka sana😁
Kuna siku nikamtumia mtu moja ya sauti zilizojirekod zenyewe kwa lengo la kutengeneza jambo fulani kilichofuata nilichoka mwenyewe😁
 
Kuna jamaa nilikua naongea nae muda mfupi uliopita kwa njia ya simu. Baada ya mazungumzo kabla hajakata simu nikasikia ujumbe " your call has been recorded " kutoka kwenye simu yake.

Nikajiuliza huyu mtu ana record mazungumzo yangu na yake kwa sababu gani? Hakukuwa na mambo ya maana sana tuliyokua tunaongea ila nimeshangaa tu kusikia kuwa ana record mazungumzo na hii si mara ya kwanza.

Mi nadhani ni ujinga tu kama huna la maana juu ya hayo mazungumzo huna sababu ya kufanya recording. Au labda urushe mitandaoni kuwa unaongea na fulani ili ikusaidie nini sasa? Foolishness
au alibonyeza kitufe cha kurekodi bila kujua
 
Nimegundua simu nyingi hasa family ya tecno na infinix wanakuja wame-enable hio setting by default na wstumiaji hawajui au wanashindwa kuitoa.

Unaweza kuta unamlalamikia mtu bure tu, nishaletewa simu karibu 3 wanataka niwasaidie kutoa hio setting hasa hasa watu wa makamo
 
Recording Alikuwa Anafanya Jiwe
Kwa Nape,Kamba Na Wengine Alikuwa Anasoma Sms Zao
 
Nimegundua simu nyingi hasa family ya tecno na infinix wanakuja wame-enable hio setting by default na wstumiaji hawajui au wanashindwa kuitoa.

Unaweza kuta unamlalamikia mtu bure tu, nishaletewa simu karibu 3 wanataka niwasaidie kutoa hio setting hasa hasa watu wa makamo
Huwa inajibonyeza pale ukiweka sikioni.
 
Back
Top Bottom