Vodacom mnanivunjia ndoa

Vodacom mnanivunjia ndoa

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
5,962
Reaction score
8,497
Kuna dada anatumia namba angu ya simu,simu angu ikiwa offair ukipiga kuna dada huwa anapokea na anajibu hovyo nakutukana wanaompigia.ameshamtukana mke wangu mara 2,nahili limeshakuwa tatizo kubwa nakwa bahati mbya sipo nyumban nipo safarini.nimewapigia vodacom kuhusu hili tatizo langu bdo hawajalifanyia utatuzi wa tatizo hili.pls vodacom wenye tatizo hili nadhani wako wengi naombeni mlifanyie kazi.
 
Wewe acha kuwasingizia voda kubali ulichepuka huko ulikokuwa.
 
Angalia call settings, calls zako zinakuwa diverted kwenda kwa huyo mdada. Hehehe i hope sio janja janja.
 
Angalia call settings, calls zako zinakuwa diverted kwenda kwa huyo mdada. Hehehe i hope sio janja janja.

hakuna janjanja,nimecheki hakuna call diverted tatizo lipo kwahao voda
 
Pole mkuu hata mimi lilisha wahi nitokea kipindi cha nyuma nilipokwenda vodashop tatizo liliisha kabisa walinirekebishia na halijajitokeza tena
 
Hii mitandao ina shida sana, mimi nasumbuliwa na tigo nikimtumia wife sms wanamtumia za zamani sana mpya haiendi au waunganisha kipande cha mpya na ya zamani nshawapigia lkn tatizo linaendelea tu, siku wakichukua sms ya mchepuko waipeleke kwa wife ndipo maji nitaita mma.
 
jamani mdada wa watu atakua kakonda na mawazo akifikiria jinsi tunda lake linavyomegwa ugenini si unajua tena mechi za ugeni hamnaga droo.
 
Hii mitandao ina shida sana, mimi nasumbuliwa na tigo nikimtumia wife sms wanamtumia za zamani sana mpya haiendi au waunganisha kipande cha mpya na ya zamani nshawapigia lkn tatizo linaendelea tu, siku wakichukua sms ya mchepuko waipeleke kwa wife ndipo maji nitaita mma.

Hili tatizo ni Hatari kwa usalama wa ndoa yako
 
hii mitandao ina shida sana, mimi nasumbuliwa na tigo nikimtumia wife sms wanamtumia za zamani sana mpya haiendi au waunganisha kipande cha mpya na ya zamani nshawapigia lkn tatizo linaendelea tu, siku wakichukua sms ya mchepuko waipeleke kwa wife ndipo maji nitaita mma.

hama mtandao huo,kwani unalipwa na wamiliki wake?chagua mtandao mwingine kuliko uvunje ndoa yako.
 
Hii mitandao ina shida sana, mimi nasumbuliwa na tigo nikimtumia wife sms wanamtumia za zamani sana mpya haiendi au waunganisha kipande cha mpya na ya zamani nshawapigia lkn tatizo linaendelea tu, siku wakichukua sms ya mchepuko waipeleke kwa wife ndipo maji nitaita mma.

serious...!?
 
ni ngumu mkuu hi lain ina mda mrefu tangia 2006.labda voda waniambie haiwezekani nahakuna option nyngne

Hapana wewe utakuwa umefanya call diversion hiyo ni setting tuu ulifanya tu mwenyewe kwa kujua au kutokujua kuhamisha cmu zko zipokele na mwingine pindi cmu ikiwa off line.
 
Back
Top Bottom