Vodacom mnanivunjia ndoa

Vodacom mnanivunjia ndoa

Mkuu GEBA2013, kuna uwezekano umefanya diversion kwenye simu yako ikaingia huko kwa bidada. Kwa hiyo wewe cancel all diversion na hilo tatizo litakwisha kwani hii inatokea tu pale unapokuwa uko off air.
 
Last edited by a moderator:
Siku zote wife muite WIFE kwenye sms hata mchepuko nae muite DEAR WIFE ili ukimixiwa sms hakuna atakaehisi sio yake

Inaonesha Wewe ni mtaalam wa michepuko! Mkuu jitahidi kubaki njia kuu!! Umenikumbusha mchepuko wangu kabla ya kubaki njia kuu, ulijimix siku moja lakini kwa vile ulikuwa umesema my sweet husband kukawa hakuna kesi ingawa contents za SMS zilikuwa na utata! Ila kesi ililainishwa na sweet husband!
 
Geba wee mtoto wa kiume usipende kuendeshwa na mwanamke. Akipigiwa simu na sauti ya kike. mwambie huyo alikua mpenzi wangu wa zamani lkn tuliachana. sio unaipigia papuchi magoti hawa wadudu wakishajua wewe ni dhaifu kwao utakula makande siku ya eid el fitr

Huna hekima wala busara na we ni mdhalilishaji wa wanawake, changia michango yenye akili na si upuuz! Jf ipo kwa ajiri ya kuelimishana na si uwanja wa kuchezea game za kijinga.think twice!
 
kuna madem wa zaman wasumbufu sana akijua umeoa anaanza kukuletea visa kweny ndoa hasa kudivert namba michepuko wnafanyaga ivo
 
Back
Top Bottom