DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
wacha kabisa kaka then huu muwa hauna mafundo kama umetoka china!
hiyo sukari guru nasikia inasumu ndani yake we subiri baada ya mda utajitambua who are u?
wacha kabisa kaka then huu muwa hauna mafundo kama umetoka china!
naona unakamua muwa mpaka unapagawa kaka!!
HA ha ha ha ha h heeeeeeeeeeeeeeeeeee hehe he he he maweeee
Devo kupata msaada piga 112 huduma kwa wateja humu ndani tunaroho mbaya
kulikoni mkubwa mbona memba wako wa Super-GURU wanapita pita kuomba proxy?Mkuu Msamiati achana naye huyu. ni wa kumpotezea tu. si unaona hata hatumjibu tena...... fanya kama hamna kitu vile
SAMRICH1 yeye ni mgeni wala hajui kuhusu tunnel guru. muda mrefu alikuwa nje ya JF kama alivyojieleza mwenyewe.kulikoni mkubwa mbona memba wako wa Super-GURU wanapita pita kuomba proxy?
Je hainatiani tena au...........?
teeh.........!!!SAMRICH1 yeye ni mgeni wala hajui kuhusu tunnel guru. muda mrefu alikuwa nje ya JF kama alivyojieleza mwenyewe.
wala mimi sina kinyongo na wewe kaka. sema joining date yako ya JF tu ndio ilinipa mashaka.
kwa mwenye kutaka vocha zaidi ya moja bei imepungua hadi buku 8.
kwa mwenye vigezo ani PM