vocha for internet tunnel

vocha for internet tunnel

ukitaka kutumia utorrent kwa lengo la kudownload torrent tumia server za Romania. halafu nenda kwenye option = preferences= connection na utaona sehemu ya kuweka proxy. angalia mchoro huu hapo chini
 
Attachments

  • utorrent.PNG
    utorrent.PNG
    14.3 KB · Views: 305
ukitaka kuenjoy fresh ni bora utumie mobile partner 16 kuliko kutumia dashboard ya original modem. from experience
 
ukitaka kutumia utorrent kwa lengo la kudownload torrent tumia server za Romania. halafu nenda kwenye option = preferences= connection na utaona sehemu ya kuweka proxy. angalia mchoro huu hapo chini

tawire
 
ukitaka kutumia utorrent kwa lengo la kudownload torrent tumia server za Romania. halafu nenda kwenye option = preferences= connection na utaona sehemu ya kuweka proxy. angalia mchoro huu hapo chini

attachment.php

Mia mia kaka!!
 
Join Date : 20th June 2012
<dt>Likes Given 2
</dt>
Teh teh teeh.. kho khoo..khoo ! kutangulia si kufika!!
Cheki watu tunavyokamua madude kisawa sawa....!! hiyo GURU tupa kulee.

jionee.jpg
ukitaka kutumia utorrent kwa lengo la kudownload torrent tumia server za Romania. halafu nenda kwenye option = preferences= connection na utaona sehemu ya kuweka proxy. angalia mchoro huu hapo chini

attachment.php

Mia mia kaka!!
Bado hamjanishawishi kabisa tena yaelekea wote mwaganga njaa tu.
Wewe
Shaffin Simbamwenenaona umekuwa mpiga debe wa karata tatu,Mr Kicheko twende kazi usifute mapondo bana kwa'n cha kuogopa nini hapa wewe ponda ponda tu if possible.
 
[/QUOTE]

Hasikudanganye mtu DEVUQUARTER-DEVUKOTA Tunner Guru ni mwake mwangu mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ukiona siku imekugomea ujue some servers are down. kwa mfano leo jioni uk and america servers zilikuwa na problem. jaribu inayoanza na 93.114......... inaonekana ipo mzuka
 
mkuu munjy1 achana na mautumbo ya huyo bwana,kifupi hana jipya huyo zaidi ya kuganga njaa tu.
Fanya juu chini uturudishie PD- yetu tuondokane na huu utumbo.

Hii kitu inapiga kazi ile mbaya, jaribu uone na sio kusema sema tu...Ila Paje kama huyu mtu hajatimiza umri wa kupatiwa hii service mteme hata akija usijekuta ni wale wale waliosababisaha ajali last time.......
 
Last edited by a moderator:
Waungwana punguzeni tafsida kidogo hebu niambieni nimeona kautaratibu kakutumia proxy sijui macho yangu au ndivyo ilivyo au vipi. sema vipi kuhusu java haiwi disabled? maana mabasi ya waenda kwa miguu ukitumia proxy java inakuwa disabled INAKERAAAAAAAAAAAA
 
mpm muanzisha mada
 
Naomba unieleweshe kuhusu hyo inshu vzuri. Cjaele kwamba hzo vocha ndo zna2mikaje au ndo kwa dizaini ipi?

Bro hizi vocha zina umri. kwa ambaye hajatimia umri haruhusiwi. ni kwa ajili ya watu waliojiunga JF kabla ya mwaka 2012. sorry for that. i hope you will understand na hutokuwa kama DEVUQUARTER-DEVUKOTA pale alipoambia hajatimia umri akaanza kuandika matapishi hali akidhani kuwa atapata angalau mtu mmoja wa kumsupport.
nategemea wewe ni muelewa.
 
wacha kabisa kaka then huu muwa hauna mafundo kama umetoka china!
 
bro hizi vocha zina umri. Kwa ambaye hajatimia umri haruhusiwi. Ni kwa ajili ya watu waliojiunga jf kabla ya mwaka 2012. Sorry for that. I hope you will understand na hutokuwa kama devuquarter-devukota pale alipoambia hajatimia umri akaanza kuandika matapishi hali akidhani kuwa atapata angalau mtu mmoja wa kumsupport.
Nategemea wewe ni muelewa.
mbona nishawachabo kitambo!!
Mnategemea server 6 tu tena haziko stable
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom