Viwiko kuwa vyeusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwiko kuwa vyeusi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaJambazi, Oct 24, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,952
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Utafiti usio rasmi unaonyesha sugu hiyo inatokana style za mapenzi zinazopelekea viwiko kusugua godoro au sakafu.

  Utafiti uliofanywa kwa watu 50 kati ya 250, umethibitisha kwa kwa asilimia 93 bila shaka yeyote.

  Utafiti bado unaendelea kwa watu 200 waliobakia.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Uzushi mtupu
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  hii inaweza kuwa kweli......
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,952
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  we ni victim nini?
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sasa na wale wanaofua nguo mara kwa mara wamewaconsider?
   
 6. piper

  piper JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  May be maana umefanya utafiti kama ulivyodadavua
   
 7. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 609
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kama kweli ninavielewa vizuri viwiko, basi hizo style zinampelekea muathirika kuwa amekishikilia kichwa chake wakati kiuno kikiwa juu(maana yake ameinama) au?

  Tafadhali sahihisha kama nimekosea.
   
 8. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 609
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Je, watu wanafahamu vizuri Viwiko vinapatikana sehemu gani ya mwili?
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Huu ulikua ucheshi wa Bukuku kwenye live standup comedy
  1.Alisema we angalia magoti yakiwa yamechakaa basi ujue anafanya style ya mbuzi kagoma
  2.Akasema angalia nywele za kisogoni kama ukiona zimelika lika basi ujue anapenda sana missionary position
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,849
  Likes Received: 29,054
  Trophy Points: 280
  Tupia hii habari kwenye jukwaa la jokes.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  tooooooooooooooooba
   
 12. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  aha aha ahaaaa
   
 13. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tafiti za uwongo hizo, viwiko na style za mapenzi wapi na wapi.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  Kwa kiwiko unamaanisha nini? Manake na mie nachukia wanawake unakuta kipepsi kina sugu kimepaukaaa! Sijui lotion hawajipaki? Kha!
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  jamani kinaletwa na kukaa mezani afu unaegemea kwa kiwiko.

   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,467
  Likes Received: 28,339
  Trophy Points: 280
  Sababu ya viwiko ku wa na rangi nyeusi nyeusi na magamba gamba ni kutokusugua hiyo sehemu wakati wa kuoga
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,069
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaa na mie nayependa style ya kusimama je....au tuna gala visigino
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  Heh! Mbona mie naegemea na sipati sugu! Basi tuwe tunavaamo zile ndude za kufanyia scating, kha!
  ina maana kunakuwa na ukoko gani? kuna mtu anakuwa na sugu kabisa na magamba yanatoka. Huwa natamani kumpakaza lotion ila ndo vile tena.
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Ah wapi Kongosho, hiyo ina maana sawa na binti kuwa na kamstari chini ya kope za jicho lake. Ukiona manyoya.......?
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  ngoja nikajitazame kama nina ukoko.

  Maana umenitisha na kunichekesha.

   
Loading...