Vivuli vitatu

Vivuli vitatu

dah nisome wapi ndg.barikiwa sanaa.
Leo Roho Mtakatifu kaniongezea nafsi; ndio maana Yesu alitoa nafs yake ife kwaajili yetu
Hakutoa mwil tu; bal aliitoa nafs; nafs ikifa mwil nao unakufa.
Ndio maana mtu akifa anaanza kufa nafs baadaye mwil

Ni hivi; upendo unaanzia ndan ya nafsi; na Yesu ni pendo; upendo wake unatoka ndan ya Nafsi ndio maana aliweza kufa kwaajil yetu;

Lakin kama tu angesema afe tu bila upendo utokao ndan ya nafsi maut yake ingekua ni bure.
Mungu asemapo yeye ni pendo alimaanisha upendp utokao ndan ya nafsi.
Sababu ktk 1corintho 13:1-8
Anasema nikitoa mwil wangu uungue moton kama sina upendo mm ni bure au nikilisha masikin kama sina upendo ni bure kabisa
Ndio maana upendo unaweza ficha vingi ni kwasababu tu nafsi imejificha hatuwez iona

Na ndio maana mtu unaweza mpa pesa lets say wadada; ile kuhonga kama huna upendo ni bure kabisa
mfano

Upendo ukitoka ktk nafsi ni mzuri.
Yesu alipokufa hakufa mwil kwanza; nafsi ilizikwa kwanza baadaye ikafuata mwil na baadaye akafufuka.
Ina maana tunaweza kuzifufua nafsi zilizo kufa sababu tayar kuna mtu alitoa nafs yake ife kwaajili yetu

Nafs ni kitu kikubwa sana ktk ulimwengu wa roho
Hata alipofufuka tunaona kabisa mwil wake haukuoza aliondoka na mwil kupaa mbingun
Unajua kwann?

Ili shetan asiutumie kufanya fojery maaana yy ni mzee wa kucopy


Alipo fufuka sasa akaja na mwil mpya ule wa mwanzo ukaondoka ambao ni wa nyama ( nahis ulibak mbingun)

Mungu akampa mwil mpya


Yaan ule utu 2 za ndan( 2 shadows)


Ndio maana hatuwez mshika had tuwe ktk ulimwengu wa roho

Sababu huu mwil hauwez kuingia ktk mbingu tu
Sasa zinabak zile nafs( 2shadows) ambazo we cant touch

Hizo ndio tunawasiliana ktk ulimwengu wa Roho na Mungu au hata ukiota utajiona upo mahal fulan; huondok na huu mwil wa nje bal zile utu 2 ( 2shadows)

Ukiamka ndio unajikuta kumbe ndoto kumbe zile utu 2 ziliondoka kwenda mahal fulan sasa zimekurudia ktk jumba lake( outer shadow)

Ina maana zinabak 2 shadows ambazo inabeba utu wako wa ndan tayar ile inner shadow( small 1)

So haya tuliyo nayo ni majumba tu yamebeba 2shadows

Ndio maana unafuatisha tamaa za dunia hii cz nia yake ni kifo na si kuishi

Wenye nia ya kuish ni utu wa ndani

Galatia 3:4
Ambaye alijitoa nafsi yake kwaajili ya dhambi zetu; ili atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sasa


Dhambi inaanzia ndan ya nafsi ndio maana amesema ametoa nafsi kwaajili ya dhambi.
Nafsi ni kiini cha uhai.

Lets say yai bila egg yolk haiwez kuwa yai
Ndivyo ilivyo mwil wa nje bila inner shadow hauwez kuishi

NB.
Nimecopy hizo sms sababu ningekosa muda wa kuandika kama hivyo

Ukiona kimepungua kitu kasome tena tena utakuta mengi kuliko hayo.

Mungu awalinde
 
Soma kivuli kidogo kivuli cha ndani kinachobeba nafsi. .kuna baadhi ya imani huamini kuwa utu hupitia katika kivuli hicho hata reincarnation meditation na uchawi
Do you believe in reincarnation?
Potential topic kwako utumwagie hapa.
 
Do you believe in reincarnation?
Potential topic kwako utumwagie hapa.
 
Do you believe in reincarnation?
Potential topic kwako utumwagie hapa.
 
Thanks
 
Vingine hivi hapa
sketch-1568216471117.jpeg
 
He he!.. ingekuwa kimvuli kinaonekana gizani labda ningeamini somo lako lkn kwenye mwanga hata vionekane 80!! Bado itaniwia ugumu kujua kuwa binadamu ati tuna roho na huyo aitwae nafsi.. mwili namjua.
 
He he!.. ingekuwa kimvuli kinaonekana gizani labda ningeamini somo lako lkn kwenye mwanga hata vionekane 80!! Bado itaniwia ugumu kujua kuwa binadamu ati tuna roho na huyo aitwae nafsi.. mwili namjua.
Ila sikuandika ili uamini... BTW hata usipoamini wewe haitaondoa uhalisia wa nilichoandika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom