Elimu ya ulimwengu usioonekana ni pana mno, elimu hii inakwenda mbali mno si kwa walozi tu bali hata ndani ya makanisa na misikitini kuna mambo yasioonekana unayotakiwa kuyafahamu.
Ni kweli kivuli kinaweza kuchukuliwa bila wewe kujua kikapelewa kuzikwa kaburini kwa kazi maalum, yaani nafsi yako inakwenda kutumikishwa katika ulimwengu usioonekana... wewe unabakia hapa duniani kama empty set........ sasa kuihuisha unahitaji kazi ya ziada either ya Kwa damu ya YESU (free) ama kwa Sangoma... Chaguo ni lako.