Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,652
- 3,208
Ah ah ah unaogopa?Niliwahi kusikia juu ya haya mambo,ngoja kwanza ni confirm cha kwangu kwanza ndio tutaendelea na mjadala,kwa sasa sitaweza kuchangia hii kitu.
Ah ah ah unaogopa?Niliwahi kusikia juu ya haya mambo,ngoja kwanza ni confirm cha kwangu kwanza ndio tutaendelea na mjadala,kwa sasa sitaweza kuchangia hii kitu.
usiseme ndugu mwandishi, sema mh mtaalam wa mambo mazitoKuna wengine hawana vivuli, hiyo imekaaje ndugu mwandishi.
Hawa kuiba kimoja waliiba viwili.Hili suala la vivuli vitatu nimelisikia ijumaa ya last wiki kwa mtaalam mmoja naona leo melikuta hapa mjengoni.
Pia kuda dada aliumwa sana kichwa na nduguze walipoenda kwa mtaalam akadai hakioni kivuli chake xo ni ngumu kumtibia na baada ya muda alifariki kweli.
Je, inawezekana kivuli kimoja kuibiwa?
Jf idumu milele.
Aise wewe sasa unaniogopesha. Kweli kuna watu ambao vivuli vyao hufutwa kwa njia za giza ili asiweze kulogwa. Ila huwezi jua kama huyu hana kivuli aidha uwe mshirikina au uende kwa mganga kukitafuta. Mtu ambaye kivuli chake kimefutwa ukienda kwa mganga atakwambia huyu mtu alishafariki ingawa ww unamuona kila siku barabarani.Kuna wengine hawana vivuli, hiyo imekaaje ndugu mwandishi.
Havifutwi bali vinafichwaAise wewe sasa unaniogopesha. Kweli kuna watu ambao vivuli vyao hufutwa kwa njia za giza ili asiweze kulogwa. Ila huwezi jua kama huyu hana kivuli aidha uwe mshirikina au uende kwa mganga kukitafuta. Mtu ambaye kivuli chake kimefutwa ukienda kwa mganga atakwambia huyu mtu alishafariki ingawa ww unamuona kila siku barabarani.
Kisayansi kivuli ni nini?Nimepata msaada wa Google anachoView attachment 365481
Wewe ndio umeniogopesha jaman duuh! Mtu kafa wakati namuona!Aise wewe sasa unaniogopesha. Kweli kuna watu ambao vivuli vyao hufutwa kwa njia za giza ili asiweze kulogwa. Ila huwezi jua kama huyu hana kivuli aidha uwe mshirikina au uende kwa mganga kukitafuta. Mtu ambaye kivuli chake kimefutwa ukienda kwa mganga atakwambia huyu mtu alishafariki ingawa ww unamuona kila siku barabarani.
Teh teh teh ahsante kwa kunisahihisha.usiseme ndugu mwandishi, sema mh mtaalam wa mambo mazito