Vivuli vitatu

Vivuli vitatu

View attachment 365412Naandika nikiamini Ulishawahi kujiuliza kuhusu kivuli chako ama la kusikia walau kuhusu ushirikina unaohusisha kivuli. ...Lakini naamini kabisa hukuwahi kudhani kuwa unavyo vivuli vitatu
Vivuli hivi vitatu havionekani muda wote bali wakati wa jioni jua linapozama au usiku kwenye mbalimwezi angavu
Kivuli kidogo kabisa
Kivuli cha kati
Kivuli cha nje

Hiki kidogo kabisa ni kivuli cha ndani ni nafsi (roho + mwili )hiki ndio kinabeba utu au uhai kwa maana nyingine. Ni kupitia kivuli hiki ndio mambo yote ya kudhuru mwili hufanyika, ndio mzizi wa vivuli vyote

Kivuli cha kati ni daraja kati ya kivuli kidogo na kile kikubwa, yani ni kiunganishi kati ya roho na mwili. ndio hiki ambacho hutumika kuleta uhai tiba au marekebisho kwa kivuli kidogo kilichotekwa kufungwa au kuharibiwa kwa namna yoyote ile

Kivuli kikubwa hiki ni kivuli mwili kivuli cha kawaida kivuli kinachoonekana muda wote...hiki ni kivuli kinachobeba mwili uharibikao na kupotea ni kivuli jumba cha vivuli vingine vyote View attachment 365413Kama ulivyo huu mchoro hapa haukamiliki ukitoa kipande kimoja ndani yake. hivyo hivyo na vivuli hivyo huwezi kuvitenga kawaida bali katika ulimwengu wa roho tuu
Kama ilivyo nafsi tatu katika mwili mmoja (me myselfand I)ndio hivyo hivyo ilivyo hata kwenye vivuli vya mwili wako

NB: mada hii ni kwa msaada mkubwa wa dada divine...
Kuna muhubiri anasema kivuli ni pepo mchafu, hahaha nilichoka sikuelewa lakini nilijidai chizi ili niendelee kushiriki ibada.
 
Sometimes ni errors zinazobidi kuripotiwa kwa uongozi
Niliipost mada mchanganyiko, huko kwenye jukwaa la dini ilipelekwa na mods.

Mawazo yoa siku hizi niliisha yaacha yaliyo. Sijui dini gani iko kwenye ule uzi?!
 
Maranyingi ishu hizi watu huchanganya sana.... Ni nani anaweza kwa hakika kukuambia hili ni jinni au ni pepo? Kwa vyovyote ni mganga... Sasa hawa jamaa kuna wakati nao hukosea na kuishia kubahatisha tu ama kutoa matibabu yasiyo sahihi
Ishu za kuibiwa vivuli sio kazi ya jini au pepo... Ni kurogwa.. Tena kurogewa maiti
Mshana hivi mtu Akipigwa jini kivuli hutolewa vipi? Hii kitu naskia inatesa sana please
 
Ni hivi
Kuna 3 shadows

Ukitembea muda wa usiku au jion huwa vinaonekana
Kuna kidogo kabisa; kuna cha kati na kile kikubwa ambacho cha siku zote na
Kile kidogo
Ni utu wa ndan lets say ni ww utu wako wa ndani

Naweza ita nafsi pia

hata mtu akifungwa huwa wanachukua kile cha ndan ambacho ni shadow yako ndogo; sababu kuna uhai ndan yake; kile kikubwa ni utu wetu uharibikao na kile cha kati bado cjajua vzr kina stand wap ok nimekumbuka kile cha kati ni hiv ni utu wako wa kati ambao unaweza kukusaidia kusimama or kutembea na kukupa nguvu wa ku claim utu wako wa ndan or nafs or shadow ile ndogo iliyo tekwa or zikwa. Na yenyew ina nguvu yake.
Ina stand at the middle btn ua inner soul na outer body or shadow.

Kwa hiyo kinachobebwa na hawa nguvu za giza ni utu wa ndan; small shadow; wakifanikiwa kubeba the middle shadow hapo we can call sm1 is dead either partially or totally
Yahitaji mtu asimame sasa kwa niaba ili akuite au akukomboe 1shadow and the 2nd shadow; unles otherwise Neema ya Mungu ikushukie akutoe huko.

Kwa kuanzia tuanzie hapo kwanza
Je maiti ikisimamishwa japo kwa kuegemezwa, mahali pa wazi nyakati hizo za jioni au usiku haina uwezekano wowote wa kuwa na vivuli vitatu?.
 
Kama iko kwenye jeneza litaonekana jeneza.. Kama iko peke yake huwezi kuona
Je maiti ikisimamishwa japo kwa kuegemezwa, mahali pa wazi nyakati hizo za jioni au usiku haina uwezekano wowote wa kuwa na vivuli vitatu?.
 
View attachment 365412Naandika nikiamini Ulishawahi kujiuliza kuhusu kivuli chako ama la kusikia walau kuhusu ushirikina unaohusisha kivuli. ...Lakini naamini kabisa hukuwahi kudhani kuwa unavyo vivuli vitatu
Vivuli hivi vitatu havionekani muda wote bali wakati wa jioni jua linapozama au usiku kwenye mbalimwezi angavu
Kivuli kidogo kabisa
Kivuli cha kati
Kivuli cha nje

Hiki kidogo kabisa ni kivuli cha ndani ni nafsi (roho + mwili )hiki ndio kinabeba utu au uhai kwa maana nyingine. Ni kupitia kivuli hiki ndio mambo yote ya kudhuru mwili hufanyika, ndio mzizi wa vivuli vyote

Kivuli cha kati ni daraja kati ya kivuli kidogo na kile kikubwa, yani ni kiunganishi kati ya roho na mwili. ndio hiki ambacho hutumika kuleta uhai tiba au marekebisho kwa kivuli kidogo kilichotekwa kufungwa au kuharibiwa kwa namna yoyote ile

Kivuli kikubwa hiki ni kivuli mwili kivuli cha kawaida kivuli kinachoonekana muda wote...hiki ni kivuli kinachobeba mwili uharibikao na kupotea ni kivuli jumba cha vivuli vingine vyote View attachment 365413Kama ulivyo huu mchoro hapa haukamiliki ukitoa kipande kimoja ndani yake. hivyo hivyo na vivuli hivyo huwezi kuvitenga kawaida bali katika ulimwengu wa roho tuu
Kama ilivyo nafsi tatu katika mwili mmoja (me myselfand I)ndio hivyo hivyo ilivyo hata kwenye vivuli vya mwili wako

NB: mada hii ni kwa msaada mkubwa wa dada divine...
DU MWANGA KATIKA UBORA WAKO KUMBE NI KWELI NILIKUWAGA NAFIKIRI WATU WANAKUSINGIZIA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom