Viva viettel (halotel)

Viva viettel (halotel)

We hao smart wapo nchi nzima ya wapi? Mi huku niliko kilosa cjawai ona network yao.

Hawa halotel pia japo wamepita huku nadhan huku hakujawashwa, niki search operators manually waliopo huku, naishia kuona voda, tigo na airtel tu

hawatumii band 2100 kama mitandao mengine ya kwetu tafuta simu yenye band nyingi kama s3, s4, s5, s6, iphone zote nk tumia kusearch ili uhakikishe kama upo.
 
Niko kgoma nahtaj pia kupata lain hyo mwenye kujua inakopatkana anjuze

Bado hawajaanza kutoa line kwa wateja. Wametoa kwa ma freelance tu na wafanyakzi wao. Kama una ndugu au rafaki anafanya kazi hapo mwambie.
Mi nilizipata kutoka kwa mfanyakazi wa hapo ninae juana naye
 
Vipi kwenye android gingerbread inafanya kazi? niliwahi kuwa na line ya smart/BOL ikawa haisomi kwenye android version 2.3
 
hawatumii band 2100 kama mitandao mengine ya kwetu tafuta simu yenye band nyingi kama s3, s4, s5, s6, iphone zote nk tumia kusearch ili uhakikishe kama upo.

Ahsante mkuu, nitafanyia kazi hilo

Vipi simu nyingine zenye band nyingi tofauti na samsung izo
 
Nakumbuka nilikuwa mtu wa kwanza kuweka posts za Viettel hapa JF, watu walikashfu sana. Lakini sasa wengine wanakula maneno yao.
 
sijaelewa kuhusu halotel ,je wameshaanza kuuza line? Hiyo internet inapatikanaje
 
BTS zao zote zimeunganishwa kwa optical fiber!ndo mana netwk iko strong
 
Ahsante mkuu, nitafanyia kazi hilo

Vipi simu nyingine zenye band nyingi tofauti na samsung izo

zipo nyingi, simu yoyote yenye Quad band (band nne za 3g) itakubali. simu nyingi za mediatek zina band mbili 1900 na 2100 hivyo hazikubali, tafuta simu hata kwa rafiki ambayo iliwahi kutamba enzi za nyuma (flagship) kama galaxy s2, htc one x, nk au simu unayohisi itakubali search gsmArena halafu angalia band zake
 
Hizo hapo
 

Attachments

  • 1443430038831.jpg
    1443430038831.jpg
    92.1 KB · Views: 326
Back
Top Bottom