Viva Tanzania, Viva Afande SACP Susan Kaganda, Rais Samia ni Msikivu

kuna uzi wangu nilisha muweka huyu mama ila JF mood mafia walifuta.ukweli utajirudia
 
Jeshi la police linahitaji mtu madhubuti.....
sio mambo ya gender balance
Sasa IGP unambalance na nani? Sasa hivi tunataka Watu Wasioyumbishwa na Wanasiasa. Mtu mwenye kisimamia haki bila kujali Ukabila wala dini.
 
Salaam Wakuu

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Susan Kaganda alikiwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kabla ya kupelekwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mafao cha Jeshi la Polisi.
View attachment 1917863
Anapigiwa Chapuo kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP).

Nashauri Kaganda aongezewe Ulinzi mapema hadi ulinzi wa nini anakula sababu nyota njema huonekana asubuhi.
View attachment 1917865
Kaganda ni Matunda ya Watanzania, hivyo ni heshima kubwa kwa taifa kuongozwa naye. Hakika nchi itapona na mgawanyiko utaisha.
View attachment 1917870
Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda sasa. Nimeona ni mtu anayefanya kazi zake kwa Weledi, mnyenyekevu, anajua mipaka ya Askari, anaheshimu Wakubwa zake wa kazi, ni msikivu. Pia ni Mcha Mungu. Hana Matabaka. Anachangia misiba na harusi. Ni mwingi wa Huruma(Mzazi).

Anajua kwamba cheo ni dhamana.
View attachment 1917871
Nimejitahidi kutafuta CV yake bila mafanikio, lakini nimepata video zake ambazo kila mtu akisikiliza na kuangalia, atajua ni Mtu wa aina gani.

Wapo wenye CV nene lakini wameisaliti Nchi. Hivyo CV si chochote.

Tanzania tunao watu wengi wanaofaa kuwa IGP lakini na Kaganda ni Mmoja wapo, hata kama akiachwa sio kwamba hafai. Nitazidi kumheshimu.

Kama tunataka Mungu aibariki Tanzania, kama tunataka mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi, dawa sio kutukana, kukejeli wala kudharau Viongozi wa Kitaifa. Toa Ushauri au Pendekeza nini kifanyike. Mimi siwaungi Mkono wanaotumia lugha chafu dhidi ya IGP wetu Sirro anayemaliza muda wake kwa sababu mimi ndo nilipendekeza Sirro awe IGP na amefanya Mambo mengi makubwa. Ili Nchi iwe na amani, Simon Sirro awe Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP) , ana hofu ya Mungu

Silkiliza hekima zake kwenye hizi Video mbili kabla ya kuandika chochote. Tumhukumu kwa haki.
View attachment 1917833View attachment 1917834
Kwa kumfanyia hii promo ndiyo unamharibia. Una chuki gani naye mpaka umharibie hivi?
 
Kwa kumfanyia hii promo ndiyo unamharibia. Una chiki gani naye mpaka umharibie hivi?
Ni haki yangu kutoa maoni. Nyie mnaotaka asijulikane kama ana uwezo ndo mnamharibia. Acha kizuri kiswemwe. Usione wivu. Nawe ukifanya mazuri utasifiwa. Kaganda ni Mzalendo.
 
Salaam Wakuu

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Susan Kaganda alikiwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kabla ya kupelekwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mafao cha Jeshi la Polisi.
View attachment 1917863
Anapigiwa Chapuo kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP).

Nashauri Kaganda aongezewe Ulinzi mapema hadi ulinzi wa nini anakula sababu nyota njema huonekana asubuhi.
View attachment 1917865
Kaganda ni Matunda ya Watanzania, hivyo ni heshima kubwa kwa taifa kuongozwa naye. Hakika nchi itapona na mgawanyiko utaisha.
View attachment 1917870
Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda sasa. Nimeona ni mtu anayefanya kazi zake kwa Weledi, mnyenyekevu, anajua mipaka ya Askari, anaheshimu Wakubwa zake wa kazi, ni msikivu. Pia ni Mcha Mungu. Hana Matabaka. Anachangia misiba na harusi. Ni mwingi wa Huruma(Mzazi).

Anajua kwamba cheo ni dhamana.
View attachment 1917871
Nimejitahidi kutafuta CV yake bila mafanikio, lakini nimepata video zake ambazo kila mtu akisikiliza na kuangalia, atajua ni Mtu wa aina gani.

Wapo wenye CV nene lakini wameisaliti Nchi. Hivyo CV si chochote.

Tanzania tunao watu wengi wanaofaa kuwa IGP lakini na Kaganda ni Mmoja wapo, hata kama akiachwa sio kwamba hafai. Nitazidi kumheshimu.

Kama tunataka Mungu aibariki Tanzania, kama tunataka mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi, dawa sio kutukana, kukejeli wala kudharau Viongozi wa Kitaifa. Toa Ushauri au Pendekeza nini kifanyike. Mimi siwaungi Mkono wanaotumia lugha chafu dhidi ya IGP wetu Sirro anayemaliza muda wake kwa sababu mimi ndo nilipendekeza Sirro awe IGP na amefanya Mambo mengi makubwa. Ili Nchi iwe na amani, Simon Sirro awe Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP) , ana hofu ya Mungu

Silkiliza hekima zake kwenye hizi Video mbili kabla ya kuandika chochote. Tumhukumu kwa haki.
View attachment 1917833View attachment 1917834
Aah wapi... hawa wakishaingia kwenye mfumo na kukumbana na wahifidhina huwaga wanakengeuka kabisa na kuwa wanyama kinyama.

Huyo Samia mwenyewe tabia aliyo nayo sasa (ya ukatili) kiasili si yake!
 
Salaam Wakuu

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Susan Kaganda alikiwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kabla ya kupelekwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mafao cha Jeshi la Polisi.
View attachment 1917863
Anapigiwa Chapuo kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP).

Nashauri Kaganda aongezewe Ulinzi mapema hadi ulinzi wa nini anakula sababu nyota njema huonekana asubuhi.
View attachment 1917865
Kaganda ni Matunda ya Watanzania, hivyo ni heshima kubwa kwa taifa kuongozwa naye. Hakika nchi itapona na mgawanyiko utaisha.
View attachment 1917870
Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda sasa. Nimeona ni mtu anayefanya kazi zake kwa Weledi, mnyenyekevu, anajua mipaka ya Askari, anaheshimu Wakubwa zake wa kazi, ni msikivu. Pia ni Mcha Mungu. Hana Matabaka. Anachangia misiba na harusi. Ni mwingi wa Huruma(Mzazi).

Anajua kwamba cheo ni dhamana.
View attachment 1917871
Nimejitahidi kutafuta CV yake bila mafanikio, lakini nimepata video zake ambazo kila mtu akisikiliza na kuangalia, atajua ni Mtu wa aina gani.

Wapo wenye CV nene lakini wameisaliti Nchi. Hivyo CV si chochote.

Tanzania tunao watu wengi wanaofaa kuwa IGP lakini na Kaganda ni Mmoja wapo, hata kama akiachwa sio kwamba hafai. Nitazidi kumheshimu.

Kama tunataka Mungu aibariki Tanzania, kama tunataka mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi, dawa sio kutukana, kukejeli wala kudharau Viongozi wa Kitaifa. Toa Ushauri au Pendekeza nini kifanyike. Mimi siwaungi Mkono wanaotumia lugha chafu dhidi ya IGP wetu Sirro anayemaliza muda wake kwa sababu mimi ndo nilipendekeza Sirro awe IGP na amefanya Mambo mengi makubwa. Ili Nchi iwe na amani, Simon Sirro awe Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP) , ana hofu ya Mungu

Silkiliza hekima zake kwenye hizi Video mbili kabla ya kuandika chochote. Tumhukumu kwa haki.
View attachment 1917833View attachment 1917834
Anafaa. Ateuliweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Naunga mkono hoja 100%
 
Nireteeni Kaganda..
Nireteeni Kagandaaaa...
Nireteeni Kagandaaaaaaa...ndugu zangu...hamtajuta..siwafichi..
 
kweli huu mmama hana njaa mama yake alikuwa jaji wa mahakama kuu aliitendea haki mpaka akapewa tume ya maadili ya viongozi.
 
Salaam Wakuu

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Susan Kaganda alikiwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kabla ya kupelekwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mafao cha Jeshi la Polisi.
View attachment 1917863
Anapigiwa Chapuo kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP).

Nashauri Kaganda aongezewe Ulinzi mapema hadi ulinzi wa nini anakula sababu nyota njema huonekana asubuhi.
View attachment 1917865
Kaganda ni Matunda ya Watanzania, hivyo ni heshima kubwa kwa taifa kuongozwa naye. Hakika nchi itapona na mgawanyiko utaisha.
View attachment 1917870
Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda sasa. Nimeona ni mtu anayefanya kazi zake kwa Weledi, mnyenyekevu, anajua mipaka ya Askari, anaheshimu Wakubwa zake wa kazi, ni msikivu. Pia ni Mcha Mungu. Hana Matabaka. Anachangia misiba na harusi. Ni mwingi wa Huruma(Mzazi).

Anajua kwamba cheo ni dhamana.
View attachment 1917871
Nimejitahidi kutafuta CV yake bila mafanikio, lakini nimepata video zake ambazo kila mtu akisikiliza na kuangalia, atajua ni Mtu wa aina gani.

Wapo wenye CV nene lakini wameisaliti Nchi. Hivyo CV si chochote.

Tanzania tunao watu wengi wanaofaa kuwa IGP lakini na Kaganda ni Mmoja wapo, hata kama akiachwa sio kwamba hafai. Nitazidi kumheshimu.

Kama tunataka Mungu aibariki Tanzania, kama tunataka mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi, dawa sio kutukana, kukejeli wala kudharau Viongozi wa Kitaifa. Toa Ushauri au Pendekeza nini kifanyike. Mimi siwaungi Mkono wanaotumia lugha chafu dhidi ya IGP wetu Sirro anayemaliza muda wake kwa sababu mimi ndo nilipendekeza Sirro awe IGP na amefanya Mambo mengi makubwa. Ili Nchi iwe na amani, Simon Sirro awe Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP) , ana hofu ya Mungu

Silkiliza hekima zake kwenye hizi Video mbili kabla ya kuandika chochote. Tumhukumu kwa haki.
View attachment 1917833View attachment 1917834
Whistle blowing; isn't it? You may be missing the target.
 
Salaam Wakuu

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Susan Kaganda alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kabla ya kupelekwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mafao cha Jeshi la Polisi.
View attachment 1917863
Anapigiwa Chapuo kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP).

Nashauri Kaganda aongezewe Ulinzi mapema hadi ulinzi wa nini anakula sababu nyota njema huonekana asubuhi.
View attachment 1917865
Kaganda ni Matunda ya Watanzania, hivyo ni heshima kubwa kwa taifa kuongozwa naye. Hakika nchi itapona na mgawanyiko utaisha.
View attachment 1917870
Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda sasa. Nimeona ni mtu anayefanya kazi zake kwa Weledi, mnyenyekevu, anajua mipaka ya Askari, anaheshimu Wakubwa zake wa kazi, ni msikivu. Pia ni Mcha Mungu. Hana Matabaka. Anachangia misiba na harusi. Ni mwingi wa Huruma(Mzazi).

Anajua kwamba cheo ni dhamana.
View attachment 1917871
Nimejitahidi kutafuta CV yake bila mafanikio, lakini nimepata video zake ambazo kila mtu akisikiliza na kuangalia, atajua ni Mtu wa aina gani.

Wapo wenye CV nene lakini wameisaliti Nchi. Hivyo CV si chochote.

Tanzania tunao watu wengi wanaofaa kuwa IGP lakini na Kaganda ni Mmoja wapo, hata kama akiachwa sio kwamba hafai. Nitazidi kumheshimu.

Kama tunataka Mungu aibariki Tanzania, kama tunataka mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi, dawa sio kutukana, kukejeli wala kudharau Viongozi wa Kitaifa. Toa Ushauri au Pendekeza nini kifanyike. Mimi siwaungi Mkono wanaotumia lugha chafu dhidi ya IGP wetu Sirro anayemaliza muda wake kwa sababu mimi ndo nilipendekeza Sirro awe IGP na amefanya Mambo mengi makubwa. Ili Nchi iwe na amani, Simon Sirro awe Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP) , ana hofu ya Mungu

Silkiliza hekima zake kwenye hizi Video mbili kabla ya kuandika chochote. Tumhukumu kwa haki.
View attachment 1917833View attachment 1917834
Nimeiona sasa, kama ndo huyo mama apewe hata ukuu wa majeshi.
 
Kuna kipindi nilikua na mheshimu sana siro but hivi karibuni kwa kweli! Labda kwa vile muda wake unaelekea ukingoni.

Huyu mwanamama anaesemekana hapa ikimpendeza mkuu wetu wa nchi amuangalie kwa kweli.
 
Back
Top Bottom