Viva Tanzania, Viva Afande SACP Susan Kaganda, Rais Samia ni Msikivu

Rais Samia Asante kutuletea huyu mama. Sasa tuone Wale polisi waliokuwa wanajifanya wapo juu ya Sheria.
 
Nyie ndio mnamuharibia dada wa watu. Nyambaff zenu
Umeumbuka. Hamnaki kuona watu wanaofanya vizuri wakitajwa. Haya sema kaharibiwa nini? Mbona rais kamuona? Lione.. Umeumbuka na nidhamu ya uoga. Kajinyonge kwa kamasi
 
Back
Top Bottom