Viva Tanzania, Viva Afande SACP Susan Kaganda, Rais Samia ni Msikivu

Kwa hiyo video ya kwanza, itoshe kusema tunahitaji MFANYA MAAMUZI SAHIHI kwa spidi na wakati sahihi!

Huyu si mmoja wao ingawa kichama hilo sio muhimu sana.
 
On proffessional and personal level Kamanda Susan Kaganda ni mama anayestahili kabisa kuwa new IGP.

Very modern, educated and moderate ni mtu mwenye reasoning ya kisasa hana nongwa zile za kizamani.

Bahati mbaya mfumo ndio ulivyo hautaki weledi na hauna checks and balance za kumonitor performance za watendaji.
 
Hata Kamanda Sirro anaijua mipaka ya polisi .
Huyo mtu akiteuliwa atakuwa mbaya kwa wananchi kuliko Kamanda Sirro
Ulichoandika ni kweli kabisa.

Wengi wetu tunashindwa kutenganisha Mtu (binafsi) na Madaraka. Madaraka ni kutekeleza yaliyoanishwa kwenye mamlaka husika ambayo baadhi yetu hatupendi. Hivyo mwenye madaraka kamwe hawezi kwenda kinyume na mamlaka yake.
 
Kwa hiyo video ya kwanza, itoshe kusema tunahitaji MFANYA MAAMUZI SAHIHI kwa spidi na wakati sahihi!

Huyu si mmoja wao ingawa kichama hilo sio muhimu sana.
Afande Kaganda Ni mtu Sahihi, atalifanyia mabadiliko makubwa jeshi la police
 
System ndio mbovu sio individuals. Sirro ni mseminary anaijua dhambi kuliko shetani....
Mwisho wa Siku hata asipochaguliwa Kaganda, hakuna IGP anayetegemewa kuchaguliwa kwamba ndiye mwenye System. IGP anategemewa kutokana na hawa Polisi wetu. Kila mtu ana uhuru wa kupendekeza nani kwake ni bora. Kaganda Mungu azidi kumuongoza
 
Hata Kamanda Sirro anaijua mipaka ya polisi .
Huyo mtu akiteuliwa atakuwa mbaya kwa wananchi kuliko Kamanda Sirro
Nadhani kila mtu ana Mapungufu yake. Hadi sasa Kamanda Sirro yupo Viziri. Tatizo lake ni kuchanganya kazi na Siasa ili kujihakikishia Ustaafu wake japo apate Ubalozi. Ila Sirro mtu wa Mungu sana na Mtenda haki. Wanaomlaumu wanasiasa wa Upinzani. Naona kwenye Siasa ndo hajafikia Mafanikio
 
Sio akishapewa U IGp nae aanze kukaa na Ilani ya ccm na kuanza kushabikia Yanga.
 
Back
Top Bottom