Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.

Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).

Pia utakuta humo watoto wa familia masikini zilizorubuniwa kuwa watoto wao watalelewa vizuri na kupelekwa shule. Wapo na wale wa wazazi waliogombana au kutorokana wakamwachia ulezi mzazi mmoja, anaposhindwa kulea peke yake, njia ya mkato ni kumpeleka mtoto au watoto kwenye kituo cha "yatima".

Kwa kuwa vituo vya "yatima" biashara yao ni kujipatia kipato kupitia huruma za watu wanaopeleka misaada na sadaka zao huko, vituo hivyo havikatai mtoto wa aina yoyote vile, mradi wao watoto wawepo ili biashara yao ifane.

Wanaoendesha vituo hivyo, hawajali lolote kuhusu hao watoto, wapo tayari kuwauza wakati wowote kwa wale waliokosa bahati ya kuzaa au hata kwa watu wenye kuharibu watoto (paedophiles).

Jamii, hususan serikali inatakiwa ichunguze kwa kina vituo vya "tatima" vyote, haijalishi ni vya kidini au binafsi. Vyote havifai kabisa kuwepo.

Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.

Tujadili.
Wewe mwenyewe Ni Mambo mangapi haramu unafanya au kufanyia wengine.

Imani za kidini za kipuuzi.hovyo kabisa.
 
Mtoto akishazaliwa ukimhukumu au kumbagaza unamuonea tu kwani sio matakwa yake.
Kweli kabisa, wanaowahukumu watoto na kuwapeleka jela za utumwani za watoto ni wale wanaoshindwa kuwalea na kuwapeleka vituo vya "yatima".

Kwanini mtu ashindwe kulea mwanae na kumhukumu kwa kumpeleka kituo cha "yatima"? Fikiri!
 
Huna jipya. Kuwa mshangiliaji tu, umelelewa kit uo cha "yatima"?
Kuna mutah pia inaleta sons of mutah

Vituo vinasaidia yatima na watoto wanao ishi mazingira magumu

orphan - is a child whose parents have died.
vulnerable children -individuals under age 18 whose safety, well-being, and/or development is at significant risk due to inadequate care, protection or access to essential services.
 
Point Yangu Iko wazi kabisa, sikubaliani na hoja yako kwamba "Yatima" ni zao la uasherati na uzinzi.

Qur-ani inatuhimiza kulinda haki za yatima na inatukataza kumdhalilisha na kumdharau, na inatuonesha kuwa kumdharau yatima ni dalili ya kukadhibisha siku ya malipo.

Anasema ALLAH (SW) :

{ فَأَمَّا الْيَتِيمَ فَلاَ تَقْهَرْ }الضحى 9

“ Basi usimuonee yatima”.

Na amesema vile vile :

{ أَرَأَيْتَ الَّذِي يُكَذِّبُ بِالدِّينِ * فَذَلِكَ الَّذِي يَدُعُّ الْيَتِيمَ }الماعون 1 – 2

“ Jee umemuona yule anaekadhibisha dini ? Huyo ni yule anaemsukuma yatima”.

Na zimekuja hadithi nyingi za Mtume (saw) zinazohimiza kuwatazama mayatima, na zikawabashiria kheri nyingi wawatunzao mayatima kwa wema ya kuwa watakuwa pamoja na Mtume (saw) huko peponi.

Amesema Mtume (saw) :

(( أَنَا وَكَافِلُ الْيَتِيمِ فِي الْجَنَّةِ هَكَذَا ، وَأَشَارَ بِأَصْبُعِهِ السَّبَّابَةِ وَ الْوُسْطَى وَفَرَّجَ بَيْنَهُمَا ))

“ Mimi na mwenye kumtazama yatima huko peponi tuko hivi, akiashiria kwa vidole vyake cha shahada na cha kati na kuvipambanua baina yake”.

Amesema vile vile :

(( كَافِلُ الْيَتِيْمِ لَهُ أَوْ لِغَيْرِهِ أَنَا وَهُوَ كَهَاتَيْنِ فِي الْجَنَّةِ ))

“Mwenye kumtazama yatima wake au wa mwenzake basi mimi na yeye tutakuwa pamoja peponi kama hivi vidole viwili ” .

Na amesema :

(( مَنْ قَبَضَ يَتِيْمًا مِنْ بَيْنِ الْمُسْلِمِيْنَ إِلَى طَعَامِهِ وَشَرَابِهِ أَدْخَلَهُ اللهُ الْجَنَّةَ إِلاَّ أَنْ يَعْمَلَ ذَنْبًا لاَ يُغْفَرُ لَهُ ))

“ Atakaemchukua yatima miongoni mwa waislamu kwa kumlisha na kumnywesha, basi bila ya shaka ALLAH atamuingiza peponi, isipokuwa awe amefanya dhambi zisosameheka ”.

Na pia amesema :

(( خَيْرُ بَيْتٍ فِي الْمُسْلِمِينَ بَيْتٌ فِيهِ يَتِيْمٌ يُحْسَنُ إِلَيْهِ ، وَشَرُّ بَيْتٍ فِي الْمُسْلِمِينَ بَيْتٌ فِيْهِ يَتِيْمٌ يُسَاءُ إِلَيْهِ ))

“ Nyumba ilio bora kwa Waislamu ni nyumba yenye yatima anaefanyiwa wema, na nyumba yenye shari kwa Waislamu ni nyumba yenye yatima anaefanyiwa uovu ”.
Hayo uliyoandika ni kuhusu yatima. Na aya ulizonukuu za Qur'an zipo wazi kabisa, sina uhakika kama umezisoma au kopi na pesti tu.

Kamanumezisoma, sasa nikuulize, wapi katika hizo aya kuna "kituo cha yatima"?

Na nani anaewanyayasa yatima? Ndugu, jamaa na marafiki wanao walea wenyewe yatima au wale wanaoshindwa kuwalea na kuwapeleka kwenye vituo? (Vya kufugia watumwa).
 
Wewe unapenda kubisha ujinga na kujifanya mjuaji. Bakia na maujinga yako! Kwahio ulitaka wabakie majumbani?? Acha ujinga
 
Pathetic
 
Wewe unapenda kubisha ujinga na kujifanya mjuaji. Bakia na maujinga yako! Kwahio ulitaka wabakie majumbani?? Acha ujinga
Umeshindwa hoja.

Vituo vya yatima hakuna yatima, kumejaa watoto wa haramu ya uzinzi na uasherati.
 
Attachments

  • 20220902_071813.jpg
    20220902_071813.jpg
    177.6 KB · Views: 26
Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.

Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).

Pia utakuta humo watoto wa familia masikini zilizorubuniwa kuwa watoto wao watalelewa vizuri na kupelekwa shule. Wapo na wale wa wazazi waliogombana au kutorokana wakamwachia ulezi mzazi mmoja, anaposhindwa kulea peke yake, njia ya mkato ni kumpeleka mtoto au watoto kwenye kituo cha "yatima".

Kwa kuwa vituo vya "yatima" biashara yao ni kujipatia kipato kupitia huruma za watu wanaopeleka misaada na sadaka zao huko, vituo hivyo havikatai mtoto wa aina yoyote vile, mradi wao watoto wawepo ili biashara yao ifane.

Wanaoendesha vituo hivyo, hawajali lolote kuhusu hao watoto, wapo tayari kuwauza wakati wowote kwa wale waliokosa bahati ya kuzaa au hata kwa watu wenye kuharibu watoto (paedophiles).

Jamii, hususan serikali inatakiwa ichunguze kwa kina vituo vya "tatima" vyote, haijalishi ni vya kidini au binafsi. Vyote havifai kabisa kuwepo.

Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.

Tujadili.
Daaah
 
Za kupotea, au una ID nyingi ?

Tusaidie hapa.

Nini maana ya Watoto Yatima ?

Watoto wanao semwa na baadhi ya watu kuwa wa haramu, na ni wa mitaani hifadhi yao iwe wapi ?

Kuna umuhimu gani wa kuwa na vituo vya watoto yatima ?

Haya maswali bado hatujapata majibu yake.
 
Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!

Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Mbona kama umejibu kimhemko ndugu!?
Kwa nilivyomuelewa ni kwamba hizo hatua za uzazi zina taratibu zake. Unaendaje kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mumeo/mkeo halafu useme hujapenda mtoto azaliwe Kwa njia hiyo!? [emoji848]
 
Back
Top Bottom