Vituo 5 vya joto na baridi kujengwa jijini Dodoma

Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati hali ya hewa ya kupita kiasi itakapotokea Jiji Dodoma ambapo vitafunguliwa vituo vyake vya Joto na Baridi kwa wakaazi kupumzika kutoka kwa hali ya hewa. Vituo vya Joto na Baridi huko Dodoma vinapatikana katika maeneo yafuatayo:

Nkuhungu

22 S. Nkuhungu St.

Masaa: 8 asubuhi hadi 5 jioni Jumatatu hadi Ijumaa

Udom

1800 Udom St.

Masaa: 7 asubuhi hadi 4 jioni Jumatatu hadi Ijumaa

Mtumba

Mji wa Serikali 200 Mashariki

Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)

Idara ya Polisi Zimamoto

20 NHIF PLAZA

Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)

Chamwino

227 Chamwino St.

Masaa:

9 asubuhi hadi 9 jioni Jumatatu hadi Alhamisi

9 asubuhi hadi 6 jioni Ijumaa

9 asubuhi hadi 5 jioni Jumamosi

Adhuhuri hadi saa 5 asubuhi. Jumapili
Suluhisho la huakika na la Kudumu na Lenye Kunenepesha ni Kupanda Miti Dodoma nzima ,kama alivyofanya Gadhafi kwenye Jangwa la Libya.
 
Yaani hapa sasa Mze Wassira ndipo atapatwa na pressure zaidi ya kukosa ubunge, maana kila akifikiria kulala na changudoa kwenye A/C na nafasi yake imechukuliwa na Bulaya yaani sipati picha anatukanaje watu huko mitaani Bunda.
Kumbe uwekezaji wa MARA KWA MARA SIJUI MARA NGAPI MAANA SIO KAZI WENGINE HAWARUDII VITU KITABU UKIPRINT KAZI MIMEISHA......
 
Suluhisho la huakika na la Kudumu na Lenye Kunenepesha ni Kupanda Miti Dodoma nzima ,kama alivyofanya Gadhafi kwenye Jangwa la Libya.
Kumbe mzee wa KARAVAT BORA WANA WATUANDALIE AC kwa ajili ya cost effective ya umeme
 
Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati hali ya hewa ya kupita kiasi itakapotokea Jiji Dodoma ambapo vitafunguliwa vituo vyake vya Joto na Baridi kwa wakaazi kupumzika kutoka kwa hali ya hewa. Vituo vya Joto na Baridi huko Dodoma vinapatikana katika maeneo yafuatayo:

Nkuhungu

22 S. Nkuhungu St.

Masaa: 8 asubuhi hadi 5 jioni Jumatatu hadi Ijumaa

Udom

1800 Udom St.

Masaa: 7 asubuhi hadi 4 jioni Jumatatu hadi Ijumaa

Mtumba

Mji wa Serikali 200 Mashariki

Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)

Idara ya Polisi Zimamoto

20 NHIF PLAZA

Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)

Chamwino

227 Chamwino St.

Masaa:

9 asubuhi hadi 9 jioni Jumatatu hadi Alhamisi

9 asubuhi hadi 6 jioni Ijumaa

9 asubuhi hadi 5 jioni Jumamosi

Adhuhuri hadi saa 5 asubuhi. Jumapili
Yaani AC au? Hivi ni kweli Dom kuna Hali mbaya kiasi hicho? Hiyo Hali mbaya inaweza kuzidi Khartoum?

Kama I tuache kudeka vitu vingine sio vya muhimu,hiyo Dom inahitaji kupandwa miti ya kutosha,bustani za kuzidi ,Hali ya hewa itakuwa poa tuu.
 
Yaani Serikali inatumia tozo zetu kufanya hizi Anasa ?

Kwanini kama inalipa mwekezaji asiviweke hata kama ni kila mtaa alafu akachaji watu pesa ili kuweza kujiendesha na kujipatia faida ?

Tunahitaji huduma ila katika shida za huduma tunazohitaji hili la joto na baridi sidhani hata kama lipo kwenye orodha
 
Hii nchi ina vipaumbele vya kuchekesha sana...

Hii hali ya hewa ndo imeanza mwaka huu? Kabla ya hapo ilileta madhara gani?
Kweli mkuu hili jambo linasikitisha ,Rais akijua vitu kama hivi apige marufuku na sijui nani wanaleta haya mambo.
 
Kidume toka Chato alijenga Airport kijijini kwake.
Ndio vipaumbele hivyo haya mambo ni ngumu sana kuyasikia enzi za kidume toka Chato!

Ila ndio wananchi wanayopenda kuyaskia haya.,subirien kusikia hela watu wamegawana kwenye ma v8 kila mtu kakimbia na bil.10
 
Ila hii nchi ina vituko sijui hata hayo mawazo tu wanayatoaga wapi, yaaani mtu akila tu akashiba na kitambi chake anawaza tu ujinga, Kweli hakuna vipaumbele vya kutatua hapo Dodoma nzima hata kwa wanafunzi wa shule za Dodoma mpaka watu wawaze huu uhuni wao? Badala tufanye vitu vinavyowagusa watu wengi hasa jamii zetu tunafanya upuuzi tu
Aliwahi kusema "mtanikumbuka"

There's no truth in this world.
 
Yaani AC au? Hivi ni kweli Dom kuna Hali mbaya kiasi hicho? Hiyo Hali mbaya inaweza kuzidi Khartoum?

Kama I tuache kudeka vitu vingine sio vya muhimu,hiyo Dom inahitaji kupandwa miti ya kutosha,bustani za kuzidi ,Hali ya hewa itakuwa poa tuu.
Bora walituletea TISHU LA SIVYO BADO NINGEKUWA NATUMIA GUZI
 
Back
Top Bottom