Vituko vya chitchat: A day in JF

Vituko vya chitchat: A day in JF

Kuna mwamba alileta uzi humu yan alfajiri alikua hospital akimuangalia mke wake akaja na uzi malalamiko humu kwamba madokta wazembe....
Saa 5 asubuh wakati anatoka hospital akaleta nyuzi ya kukamatwa na polisi...
Saa 9 mchana eti yupo entebbe anaenda tijuana-mexico kuangalia kombe la dunia....

Namsubiri siku mbili mbele atakuja na uzi wa bodaboda kuongeza nauli..
 
IMG20260608213017.jpg
 
Namsubiri siku mbili mbele atakuja na uzi wa bodaboda kuongeza nauli..😂😂😂
 
Tatizoo unaanzia mbali sana Gran Pah, watu mambo ni mingi alooo.
😂😂😂
 
That one uncle in every family who has survived with alcohol since you were born 😀
1780991952490.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom