Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,252
- 3,073
Mm niulize anaanika chupi za uchokozi zile bikibi style au hizi za kawaida km za kawaida usjal mkuu ni kawaida ila km na zile style za ajabu ajabu kila siku chukua moja alafu ukionana nae uwe unamsalimia kwa tabasamu la nguvu akianika tena iba nyengine alafu endeleza bashasha km
Anakutega utapata jibu km anaanika kwa kufata jua utajua tu
Anakutega utapata jibu km anaanika kwa kufata jua utajua tu