Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.

Fanya hiviii...Anua chupi zake zipasi then mpelekeee...halafu utaona kifuatacho....hahahaaaaaaaa
 
NGOJA MSHANA JR AU MZIZI MKAVU WAJE WATUPE NONDO
 
HUENDA NIVYEMA UTUDOKEZE NA MIVAO AMA NI KANGA MOKO AU VIPI
 
Paka Acid kwenye kamba..hutaziona tena.
 
Hakuna tatizo,ameona wewe hushindi nyumbani sasa anazianika kwa nia njema,ila inapotokea umezikuta inakuwa kama ajali tu.Hakuna chochote hapo ukijipendekeza unaozeshwa look very much ukitegeka unaoa huyo binti
 
Mbona hakuna shida apo we unajitega mwenyewe kwa mawazo yako
 
Zikikauka msaidie kuzianua na uziweka chumbani kwako. Akija kwenye kamba mweleze upepo ulikuwa mkali sana zikadondokachini na uliporudisha kwenye kamba zikadondoka tena hivyo ukaona bora umsaidie kuzianua kisha umkabidhi. Mjomba Mkude
 
Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.

Demu anaforce king hatary ,, huwez amini boy wengine wakiona vichupi tuu washachanganyikiwa anataka ujiongeze broo
 
Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.
zipulizie perfum au weka upupu
 
Hazina ukurutu?

Kila akizianika jaribu kuzitathmini ili tujue ni msafi kiasi gani.
 
Ushaur gan tena baba... Piga nyama hiyo.. We unaanza kujipekecha na ushaur JF ilhal unaona mtoto anajileta leta na kapu la nye.ge , au ni under 18/kimwanafunzi??
Kama humtaki niPM hata namba yake nimuelekeze sehemu ya kuanika pichu zake
 
Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.
komaa tu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom