Mjomba Mkude
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 287
- 119
- Thread starter
- #41
Sidhani kama hujaelewa nilichoandikaKijana umemaliza chuo, mwandiko kama wa bata? Ulikuwa chuo unasomea udereva au chuo cha ufundi cherahani?

Kwa mtazamo wako JF itakuwa haina maana.Kijana umemaliza chuo unataka tukushaur jambo dogo kama hilo!!Kwel wasomi walikuwa zaman
Itakua ivo ivo,anataka amfyatue kwa defenceMuulize kwanini anaanika vyupi vyake dirishani kwako!?... Otherwise unamtamani lakini una mtafutia sababu ya kumnyatia...
Flora msoffe.,mwenzio pia anazianika isipokuwa namna anavyozianika ndo balaa..Kwan chupi Ina ajabu Gan usipoivaa ndo Unakuwa wa ajabu ulitaka aanike chaga ya kitandani? akuuuuu zangu nazitandaza nje bila woga... sitaki Fungus kwenye papuche
Mkuu umesema sawa..We endelea na maisha yako.. ukiona zimekauka unamsaidia kuanua unampelekea . Hatarudia tena..
Next time Subiri zikauke kisha zianue zipige pasi na kuzikunja vizuuuri na kuzipulizia manukato ya gharama kisha kamuwekee mlangoni pakeAsalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.
Piga picha hizo chupi
Mjomba Mkude hilo nalo tatizo,fanya mpango umuoe mchumbakoAsalaam wana bodi.