Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.
Hama hiyo nyumba
 
Comment zingine inabidi ucheke tu...
heee kijana unafurahisha sana chupi zinakukera nini fanya hivi ukimuona amekuja kuanua mwambie aache kuanika vyupi zake sawa na dirishani kwako akikataa wewe anza kuanika boxer zako juu ya za kwake utamsikia atakujb nini... sawa mwanachuo?
 
Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.
Mwambie aache au paka pilipili
 
Inawezekana ikaanika upande wako kwa sababu ya ishu ya mwanga wa jua unavyojipa au kwa sababu nyininge.Katika dalili ninazozijua za mtu kumpenda mwingine hii ya kuonyeshana chupi sidhani kama ipo
 
Anua anika ndani kwako akiuliza mwambie nimeanika kwangu njoo uchukue...akija kula bonyeee
 
Sasa mbona umefikiria upande wa hasi tu kwamba anakutega?OK, hata kama ndivo inaonekana na ww ulikuwa unamtaka toka siku nyingi tu bro ila chance ndo ilikuwa tatizo.kama vipi ikimbie zinaa
 
Mbona simple tu chukua kisu KATA KAMBA...uone ataanika wap
 
Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.

labda kaona pana faragha kidogo,hamna mbaya..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom