Vituko ubadilishaji wa vitambulisho vya ukaazi Zanzibar

Ila unafik ni mbaya zaidi maana unajumlisha yote mpaka na ule uongo!

Matokeo inakuwa mtego wa panya... .... tena buku khasa lililokomaa!
Haya mkuu tuone kwani hunasa aliyemo na asiyekuwemo!!. Mungu ametubarikia Unguja na Pemba pia.
 
Waunguja na Wapemba nje ya Muungano sijui hata kama wataweza kuishi pamoja bila kuvurugana

Kuna hawa masheha wana ubaguzi wa hali ya juu sana dhidi ya Wapemba, na huu ubaguzi una baraka zote za Serikali
Hii ni mikakati ya tanganyika kuhakikisha ccm inatawala zanzibar, na sio uuguja na u pemba
 
Back
Top Bottom