BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,712
- 6,508
Ukisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye asili ya Asia wana vipata vipi ila nachojua wao wana vitambulisho wote, Sasa jiulize wao wanavipataje? Na kwa nini Watanganyika na wao wasvipate kama hao wageni?
NIDA ni bahati mbaya kwamba inaoenekana ina Backup kutoka juu kwa ujinga wanao ufanya, haiwezekani ni Watanganyika pekee ndio wanao kosa vitambulisho huku Wageni na watu wengine wakipewa bila tatizo.
Mwezi uliopita nilishangaa Mtanzania mmoja mwenye asili ya Asia lipoteza NIDA yake na akapata mpya ndani ya siku 6, ndani ya siku 6 aka printiwa KADI mpya wakati Watanganyika wana miaka 5 hawajapata hizo kadi.
Pale Dododoma kila Mwaka wale Wabunge wamekuwa wana danganywa tu kuhusu Vitambulisho na wao wanaishia kupiga makofi tu.