Vituko ubadilishaji wa vitambulisho vya ukaazi Zanzibar

Haya Mkuu!! Wakati mwingine kunahitaji akili kubwa ili uweze kufanya uongo ufanane na kweli.
Ni kweli mkuu ....

Ila ukiwa muongo uwe mjanja na siku hizi hakuna mjinga!

Tatizo liko hapo yaani...

Ila unafik ni mbaya zaidi maana unajumlisha yote mpaka na ule uongo!

Matokeo inakuwa mtego wa panya... .... tena buku khasa lililokomaa!

wanaumia wengi !
 
Muhimu ni kila mmoja kwenda kwa wakati wake.....kama atakimbia maana Yake watakuwa wamehama majumbani mwao? Ok nendeni kwenye mabaraza au mahakamani ...waitwe waje waeleze kwa sababu gani wanawakatalia mahakamani au barazani wakitoa hukumu ombeni nakala ya hukumu....kisha tufanye yetu
Kama kuna sheha wa hivyo ....huyo hafai kuwa sheha maana anakimbia majukumu!

Mtu atakimbiaje kwake kwa jambo kama hilo?

Hapo ipo namna ...ndio shida ya kusikiliza upande mmoja!
 
Acha ubaguzi mkuu. unajidhihirisha kabisa halafu eti unatupia lawama wengine.
Hiyo ni tafsiri yako .....

Nimeongea athar za ubaguzi...

Na ubaya wake ni kubaguliwa vile vile ..unanihukumu kwa kipi??

Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!

Ubaguzi... Unakula kote kote.... !

Hao wengine nilio watupia lawama ni kina nani??

Sijalaumu mtu ...nimesema unafiki na ubaguzi ni mbaya!
 
Acha wewe kuwa mbaguzi. iyo ndio hatua ya mwanzo ya kuondoa ubaguzi. sio kushutumu wenzio wakati wewe mwenyewe ni mbaguzi.
 
Kama kuna sheha wa hivyo ....huyo hafai kuwa sheha maana anakimbia majukumu!

Mtu atakimbiaje kwake kwa jambo kama hilo?

Hapo ipo namna ...ndio shida ya kusikiliza upande mmoja!

Unaonekanwa ni mwenyeji wa mazingira ya Zanzibar. Lakini unajifanya kama huyafahamu vile yanayotokea Zanzibar.
Sheha wa hivyo ndie anaefaa kwa mujibu wa sera za utawala wa CCM.
 
Ni kina nyie. Mnaotumia sera ya Ubaguzi na propaganda za uwongo kutawalia.
Pole sana mkuu...

Ulitaka niongee vipi labda...

Propaganda na uwongo na unafiki ndio ..umesababisha haya!

Sijagusa chama..

Nimesema ubaguzi na unafiki ni mbaya kwa yeyote anaye ushiriki.. ..na matokeo tunayaona!

Usinihusise na upupu wa kuzugia vyama.. .

Hayo yana wenyewe na wananufaika nayo...wale wa mkiani ndio kelele mingiii..

Imegeuzwa miradi ...pesa wale wengine zahma inapata wote@
 
vitaje basi, mbona unabana
Sipo kushindana...na silazimiki ila haitaki tochi...

Yanayobanwa labda yapo mimi siyajui ...

Tatizo ni unafiki ndio.maana hatwendi..

Chuki.. uongo..fitna... ni sumu mbaya sana...
 
Acha wewe kuwa mbaguzi. iyo ndio hatua ya mwanzo ya kuondoa ubaguzi. sio kushutumu wenzio wakati wewe mwenyewe ni mbaguzi.
Labda huelewi au huyataki niliyoongea!

Nimesema ubaguzi mbaya...hapo nimembagua nani?

Ili nisiwe mbaguzi niseme ubaguzi ni mzuri??

Ubaguzi na unafiki ni mbaya.. !
 
Labda huelewi au huyataki niliyoongea!

Nimesema ubaguzi mbaya...hapo nimembagua nani?

Ili nisiwe mbaguzi niseme ubaguzi ni mzuri??

Ubaguzi na unafiki ni mbaya.. !

nanona unabanabana tu. Unaogopa kivuli chako au
 
Unaonekanwa ni mwenyeji wa mazingira ya Zanzibar. Lakini unajifanya kama huyafahamu vile yanayotokea Zanzibar.
Sheha wa hivyo ndie anaefaa kwa mujibu wa sera za utawala wa CCM.
Hakika!

Ndio maana nasema uongo na unafiki ni sumu mkuu..

Msumeno!
 
Watawala wa Afrika wanataka kutawala kwa manufaa ya Watoto wao.
Wako tayari kuangamiza wengine alimradi dhamira zao za kutawala ziendelee.

Wanaowagombanisha wazanzibari ni wazee ambao wamekaa madarakani kwa muda mrefu. Hawana shida kimaisha lakini shida yao ni kuona watoto wao na wajukuu wao wanapata madaraka kwa manufaa ya uzee wao.

Hii mambo ya mapinduzi daima haina tija kwa vizazi vya leo kama hakuna umoja na mshikamano bila kujali vyama.

Waafrika ni waoga sana wa kuishi nje ya madaraka kutokana na matendo yao maovu wakati wanapokua madarakani; matendo ya wizi,dhulma ,rushwa kuua ,kuteka na unyanyasaji wa kijinsia.

Mtu nakaa kwenye ubunge au uwaziri miaka 20 tena akiwa ametumikia sekta nyingine kwa miaka 20 lakini bado anafurahia watu wakivurugana na hata kuuana ili tu aendelee kuwepo kwa njia ya dhulma utafikiri yeye ndiye aliyeumba huu ulimwengu.

Aibu sana viongozi wa Afrika tubadilike. Zanzibar wakati wa Amani Karume ilikua imeshafikia mahali pa zuri kabisa kuelekea kwenye demokrasia ya kweli lakini MTU mmoja akairudisha miaka 50 nyuma. CCM Mungu anawaona kwa matendo yenu ya dhulma kwa wanadamu wenzenu.
 
Kisiwa kina mambo mengi hiki kwaiyo na uku atutapewa vitambulisho vya watanganyika wakaazi!?
 
Back
Top Bottom